[emoji23],Bosi sio kufuru,, shetan hawezi kumzidi mungu nguvu, huyo mnaemwita shetani kama yupo, yupo kwa makusudi maalumu,, yaani hii ni kama game of chance, soma vizuri kisa cha ayub,, wakati shetan na mungu wakiwekeana dau juu ya ayub,
Soma issue ya farao, alietaka kuwaacha wana wa israel waondoke kwa amani,, kisha mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili tu apate kumuua,
Soma habari ya moses kutomtahiri mwanae, jambo lililopelekea jehova, amnyatie nyatie moses akikwepa kukanyanga mashonde na hadi akampiga kabari ya nguvu moses,, soma jinsi yehova alivyokua akibishana na moses kila wakati yehova alipokuwa akiwateketeza waisrael jangwani , hadi ikafikia hatua yehova anamwamuru moses amkate kichea mfalme wa agag, moses alipogoma, yehova akamwambia hataingia nchi takatifu kwa maana yehova atamuua moses,,
Ofcource hizo habari ni hekaya tu za wazee wa kiyahudi, kwani moses hakuwahi kuwepo[emoji2375]