Mungu ndiye shetani(?)

Niko interested na sprituals, historically,, sasa umekuja duniani kufanya nini kama hata unachoabudu, hujiangaishi kukifuatulia kimeanza vipi?,,
In short wewe uko very deep brainwashed,, na hakuna chenye mtu atafanya uweze kusaidika😄
Lakin sikipondi kitu alafu mdada huo huo nakifuata huo ni unafki mim sio mnafki kama wewe, umwamin Mungu alafu kutwa kusoma maandiko yake wewe kwa akili yako timamu unaona ni sawa
 
Lakin sikipondi kitu alafu mdada huo huo nakifuata huo ni unafki mim sio mnafki kama wewe, umwamin Mungu alafu kutwa kusoma maandiko yake wewe kwa akili yako timamu unaona ni sawa
Hauna exposure tu,, hatupondi tuna disscuss, wewe unachukulia tunaponda because wewe ni extremist,, yaani uko brainwashed to the point of no return,,
Sasa nakuwekea link, usome mwenyewe huku watu wanavyojadili, haya mambo na wala hawainekani eti wanaponda,, nachojaribu kufanya ni kukupa exposure ili utoke ndani ya box ulilomo, 😄,
Yaani nataka nikufungulie dunia ili uone na u reason mwenyewe🤷🏾‍♂️
 
 
Huwez kuwa hukiamin kitu alafu mda huo huo uko bize unakifuatilia huo ni unafki, siwez poteza mda kufungua link na kufuatilia vitu ambavyo siviamini
 
Huwez kuwa hukiamin kitu alafu mda huo huo uko bize unakifuatilia huo ni unafki, siwez poteza mda kufungua link na kufuatilia vitu ambavyo siviamini
Sawa, wewe usipofungua link, wengine watafungua bosi wangu,, kikubwa tunapanuana mawazo, usihofu eti utaishiwa waumini,, tunaoingia mitandaoni ni asilimia 1 tu ya population,, wengine hawana hii exposure,, relax
 
Anyways, Mungu hatetewi wala kupiganiwa. Na huwezi kumpangia, Yeye ni Mwanzo na Mwisho.

Naamini mleta mada ni Mungu kakutuma uwajaribu watu wake, pambana ili utimize kusudi lake Mungu.

Isingekuwa Mungu kakutuma ungekuwa umeshakufa zamani wala hizi kelele zako tusingezisikia hapa jf
 
Hivi ukiruhusu dhambi itendeke na unao uwezo wa kuizuia utakuwa nawewe umetenda dhambi?
 
Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Wenye vijihela wanamuomba mungu mno vihela visiondoke. Wanaoletaga mada za hivi ni hao choka mbaya. Wamesali hakuna kitu wameamua kujitoa ufahamu
 
Vyote viwili vipo, ni sawa na mwanga na giza. Mwanga ukiingia giza linatoweka na giza likiingia mwanga unatoweka. Wanaogopana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…