Mungu ndiye shetani(?)

Mungu ndiye shetani(?)

Niko interested na sprituals, historically,, sasa umekuja duniani kufanya nini kama hata unachoabudu, hujiangaishi kukifuatulia kimeanza vipi?,,
In short wewe uko very deep brainwashed,, na hakuna chenye mtu atafanya uweze kusaidika😄
Lakin sikipondi kitu alafu mdada huo huo nakifuata huo ni unafki mim sio mnafki kama wewe, umwamin Mungu alafu kutwa kusoma maandiko yake wewe kwa akili yako timamu unaona ni sawa
 
Lakin sikipondi kitu alafu mdada huo huo nakifuata huo ni unafki mim sio mnafki kama wewe, umwamin Mungu alafu kutwa kusoma maandiko yake wewe kwa akili yako timamu unaona ni sawa
Hauna exposure tu,, hatupondi tuna disscuss, wewe unachukulia tunaponda because wewe ni extremist,, yaani uko brainwashed to the point of no return,,
Sasa nakuwekea link, usome mwenyewe huku watu wanavyojadili, haya mambo na wala hawainekani eti wanaponda,, nachojaribu kufanya ni kukupa exposure ili utoke ndani ya box ulilomo, 😄,
Yaani nataka nikufungulie dunia ili uone na u reason mwenyewe🤷🏾‍♂️
 
Screenshot_20221221-120745.png
 
Huwez kuwa hukiamin kitu alafu mda huo huo uko bize unakifuatilia huo ni unafki, siwez poteza mda kufungua link na kufuatilia vitu ambavyo siviamini
 
Huwez kuwa hukiamin kitu alafu mda huo huo uko bize unakifuatilia huo ni unafki, siwez poteza mda kufungua link na kufuatilia vitu ambavyo siviamini
Sawa, wewe usipofungua link, wengine watafungua bosi wangu,, kikubwa tunapanuana mawazo, usihofu eti utaishiwa waumini,, tunaoingia mitandaoni ni asilimia 1 tu ya population,, wengine hawana hii exposure,, relax
 
Anyways, Mungu hatetewi wala kupiganiwa. Na huwezi kumpangia, Yeye ni Mwanzo na Mwisho.

Naamini mleta mada ni Mungu kakutuma uwajaribu watu wake, pambana ili utimize kusudi lake Mungu.

Isingekuwa Mungu kakutuma ungekuwa umeshakufa zamani wala hizi kelele zako tusingezisikia hapa jf
 
USHETANI hupimwa kwa ile tabia ya kupingana na Kile kinachotakiwa siyo kwa kuua.( Rejea: Daudi, wanajeshi, MUSA, PAULO, nk).
Sasa wewe umeumbwa na umewekwa duniani na MUNGU. Hivyo ni lazima ufuate masharti unayoambiwa na siyo kinyume chake.
Na isitoshe kitu kilichotengenezwa kinaweza kubadilishwa kuwa chochote na yule aliyekitengeneza.
SHETANI naye ni kiumbe ambaye UHURU wake unategemea uamuzi wa MUNGU na hajaumba chochote. Kwahiyo, siyo sahihi kumweka Mwizi na mmiliki kwenye mizania sawa.
KIFUPI; Shetani hana nguvu yoyote, isipokuwa anapewa mamlaka ya kuwajaribu binadamu ila maamuzi ya Mwisho yanakuwa ya MUNGU ( Ni sawa na wakili mahakamani anapiga mbwembwe nyingi sana, ila maamuzi ya Mwisho ni ya HAKIMU).
Kwahiyo, binadamu wote wametenda dhambi, na hivyo wanaokolewa na REHEMA YA MUNGU.
Hivi ukiruhusu dhambi itendeke na unao uwezo wa kuizuia utakuwa nawewe umetenda dhambi?
 
Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Wenye vijihela wanamuomba mungu mno vihela visiondoke. Wanaoletaga mada za hivi ni hao choka mbaya. Wamesali hakuna kitu wameamua kujitoa ufahamu
 
Vyote viwili vipo, ni sawa na mwanga na giza. Mwanga ukiingia giza linatoweka na giza likiingia mwanga unatoweka. Wanaogopana.
 
Back
Top Bottom