View attachment 2453049
Ngoja nikutafsirie hii kwanza😂.
Musa akamwambia mungu, "kwanini unanifanyia hivi, kipi nimekufanyia kibaya hadi unitende hivi?,, Hivi hawa(waisrael),nimewazaa mie, Je mimi ni mama yao, kwa nini unanitupia majukumu yasiyonihusu? Yaani unataka mimi niwabebe hawa watu kana kwamba mimi ni housegali, yaani niwapeti peti mpaka nchi ya ahadi, uliyowaahidi babu zao,,
Eti niwape nyama, mimi nitapata wapi nyama za kuwapa watu wote hawa?,,
Mie siwezi bana, THIS IS TOO MUCH,,, kama hivi ndo umepanga kunifanyia, NI BORA UNIUE TU,, 🙆♀️,NIMECHOKA, NIUE,, "
MUNGU akasema,"................