Mungu ndiye shetani(?)

Mungu ndiye shetani(?)

Kwa kuwa kuna wema na ubaya, akiwa mwema ni Mungu, akiwa na ubaya ni shetani. Hata hivyo ninaona ushetani umezidi kwani kila penye mafanikio makubwa shetani yupo. Huenda ushetani utameza wema hivyo Umungu kupotea . Kuna mwanafalsafa alisema "God is dead"
 
Back
Top Bottom