MUNGU, Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili, LAKINI Huwa Hawalindi Wote Wenye Mwili

MUNGU, Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili, LAKINI Huwa Hawalindi Wote Wenye Mwili

Wapagani na wale wengine, msiomuamini Yesu, hebu mtafuteni mungu wenu mwingine, maana Mungu wa Israel amewakaateeni.
Sasa kama Mungu mwenyewe ni wa waisrael wewe anakuhusu vipi? Mi nilifikiria huu uzi unamuongelea huyo Mungu wanaedai ameumba mbingu na dunia
 
Mtoa mada wakati mwingine sielewi dhana ya ulinzi wa Mungu unayoiongelea.
Maana kati ya Herode na Yohana mbatizaji sijui ni nani ambae Mungu alimlinda na ni nani ambae alimpotezea.
Au unamaanisha ulinzi upi mkuu.???
 
maombi ya wasiomwamini ni kelele mbele za Mungu, hivyo ni kweli watenda maovu hawasikilizwi na Mungu, kuhusu majaribu yanawapata zaidi wanyofu wa moyo maana majaribu ni kazi ya shetani mkumbuke Ayubu ktk Bibilia
 
Dada @atu mbwele
Ngoja nikupe maana ya Haya maneno katika Lugha ya kingereza;
kuona=to see
kuangalia=to Look

Maana ya hayo maneno ni Hii,
see~is to perceive with Eye
Look~to turn an eye toward something in order to see

Kwa maana hiyo basi,Ili kuona inabidi Uangalie
Na Ili uone inabidi uwe na Macho.
so unaposema Mungu anaona watu wote lazima Mungu awe na Macho...[Physical eyes]
Na ili uwaone watu wote,lazima uwaangalie watu wote,
kwasababu kabla ya kuona inabidi uangalie kwanza..
Sasa ww unadhani Mungu hana macho????? Yaani kukuumba ww na kukuwekea macho alafu kwake akashindwa???? Tatzo ninyi vijana theology ndo inayowapotosha, mkiifananisha na elimu ya Roho Mt.
 
kwa hio unataka kuniambia kua wanaomkiri yesu hawateseki? hawana matatizo kwenye ndoa zao? ni matajiri? hawana mahangaiko yoyote? hawafiwi wala kufa? kua makini na hoja zako.sisi ni binadamu tunakumbana na matatizo mbalimbali kwa sababu kuu tatu 1,hatujakamilika so mtu yoyote hata awe mdini vipi atakumbana na matatizo tu 2,shetani naye anahusika 3, tukio lisilotazamiwa humkuta mtu yoyote soma mhubiri 9:11 maana yake kuna accident au lada mtu anatembea ghafla akagongwa na gari ni tukio lisilotazamiwa so ni muhimu kua na usawaziko kuhusu jinsi mungu anavyotoa msaada kuelekea watu wake ulimwenguni kwani sio tu wanaomwamini eti ndo hawana magumu.kwani jaman hamjawahi kuwaona watu ambao hawamwamini mungu wanapona kwenye accident na bado wana maisha mazuri
Sawa mkuu!!!! Je ,ktk shida zako nani unaemtegemea 100%, maana yule unaemtegemea kW 100% ndie unaemwamini na ndo unamwabudu.

Kwa SBB kuabudu, ni Kuheshimu kwa kiwango cha juu. Wkt iyo heshma ya kiwango icho anaestaili kupewa ni Mungu pekeee
 
Hebu tuanze hapa kuokoka n nn?
WARUMI 10:9--10

1. BIBLIA inasema:: ukimkiri Yesu kwa kinywa chako na kuamini moyoni mwako yakuwa alikufa, akafufuka,na sasa yu Hai, unaesabika umeokoka

2. Kuokoka nikianza maana ya kawaida kabsa, ni kujitenga au kuepukana na hatari iliyopo mbele yako. Mfano: unaelekea mahali Fulani labda upo na gari, kumbe mbele kuna majambazi, lakini na mm pia nilikua naelekea hukouko nikiwa mbele yako ndo nikagundua km Luna majambazi, nikakusimamisha nawe ukasimama kisha nikakupa iyo taarifa, na ww ukaamua kurudi, hapo UMEOKOKA.

Hivyp WOKOVU wa Mungu wa kumwamini Yesu Kristo unakusaidia kuepukana na hatari ya kuingia jehanum kwny mateso ya milele baada ya maisha ya hapa duniani.
 
Ni waliookoka tuu ndo wanaoishi kwa uhakika na matumaini hapa duniani.
Wakati wa WOKOVU ni sasa
 
Sasa ww unadhani Mungu hana macho????? Yaani kukuumba ww na kukuwekea macho alafu kwake akashindwa???? Tatzo ninyi vijana theology ndo inayowapotosha, mkiifananisha na elimu ya Roho Mt.
Mungu anajua nini anafanya, mi naona bora ujitahidi kumtafuta tu kwa nguvu alizokujaalia.

N.B kumbuka Mungu anajua kila kitu, alimuumba shetani akijua siku moja atakuwa shetani. Aliwaumba Adamu na Hawa akijua siku moja watakula tunda, maana yeye ana nguvu za mwisho na anajua kila kitu na anaona kila kitu.
Ninacho weza kukushauri, soma ambacho unaweza, sema unachoweza kusema juu yake, muabudu namna unayoweza kujitahidi, ila mungu kaumba ulimwengu ulivyo na alitaka uwe hivyo toka mwanzo!
 
MUNGU anasikia pia anaona,adamu Na Eva walipokula tunda MUNGU alikata mawasiliano. So kama unatenda dhambi huwezi kufanya mawasiliano na MUNGU anakuona sio sauti zote MUNGU anasikia. Hujatubu dhambi unafunga Na kuomba MUNGU awezi sikia, kama umetubu dhambia MUNGU anasikia tofautisha hapo c sauti zote MUNGU anasikia. Amen!
 
Mungu anasikia sauti zote,,,ila huwa hasikilizi sauti zote. Bali huwa anasikiliza sauti za wateule wake.
 
Back
Top Bottom