Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
 
na hiyo ndoa ilikuwa tarehe ngap??....coz wapo wanaopoteaga hata ile silu ya Harusi yenyewe.....
 
Back
Top Bottom