Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Am serious i tell u....wee ngoja nije huko kwenu kwa kina mwakipesile kwannza tupelekeane motooo wee na wokovu utapatika huko huko ndani ya mbususu
Hata sikuhitaji saivi
 
Aiseee!!?
Ila Bado una nafasi ya kupata mtu sahih
 
Nilifunga ndoa then baada ya hapo ikawa ndoa jina sikuwahi ishi nae ivo ikanibidi niliweka hadharani kuwa sina ndoa tena
Nimesikitika sana kwa yaliotokea hadi nahisi jumapili kwangu kua ngumu!
Yote ya yote sorry, natumaini ulisha vuka kwenye hali ya maumivu na sasa upo ok.

Ila jua nyakati hazidumu one day utaongea kwa namna nyingine yenye furaha na amani.
 
Barikiwa
 
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
Sema achana tena na mamitandao ushakuwa mke wa mtu, ukija huku lazima tule tunda kimasihara
 
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
To yeye nakusalimu 😂🤣🤣🤣 sema mashangazi wa mbeya mna shida sana 😆😆
 
Back
Top Bottom