Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Nilijaribu kuomba uhamisho ilishindikana mkuu,yeye kuja kwangu alikataa alisema mishe za hela zipo dar
Pole mpnz, ni dhahiri hakukupenda au alkua na shida tofauti. All ain all Mungu hutenda kwa wakati wake. Wakati wako utafika.
 
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
Kumbe uliolewaga weye
 
Hongera dear!hatimae sio single mom tena u have a family now..congrats kipenz may GOD bless u and your family be a good mom take care,respect u hubby and children well wish u all da best in your marriage mammie.
Kweli ndoa nyoko pamoja na vingereza vingi lakini wapi...🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.

Du hicho kimombo balaa! Bora ungeandika kiswahili hadi mwisho!
 
Asante sana,kukurupuka kuliniponza
Ulikurupuka kiaje wakati ulisema kuwa no mater how many hit and run unakutana nao never be discouraged? So inamaanisha ulikuwa tayari na uzoefu tosha wa wanaume
 
Yeah,sure
 
Asante sana,kukurupuka kuliniponza
Hapana ulitimiza wajibu km mwanamke ila yeye hakuona umuhimu. Ila nikwambie kitu utasahau na kujiuliza kwanini yule pale utakapopata mtu sahihi.Nakuombea sana sana MUNGU HASHINDWI
 
Back
Top Bottom