Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Hapana ulitimiza wajibu km mwanamke ila yeye hakuona umuhimu. Ila nikwambie kitu utasahau na kujiuliza kwanini yule pale utakapopata mtu sahihi.Nakuombea sana sana MUNGU HASHINDWI
Kuolewa tena kaka? Japo nduguze waliniambia ivo pia lakini mi nishakata tamaa...nimeichukia hii hali..siwez
 
pole

pengine alikuwa ni mume wa mtu tyr.

ila hizi ndoa hizi, ikidumu ndani ya miaka 5 mkatoe sadaka
Wee bwana ndoa itadumu vipi wakati watu tunaoana tukiwa tayari used products....kilanmtu ana ma ex wasiooungua kumi
 
Habari ndugu zangu,

Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.

Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.

Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.

Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.

NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.

Mbarikiwe sana wana JF.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom