Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakiwa uanzishe varangati la asha ngedele tatizo wee ulikuwa mpole sanaYeah,wakati sikuzote nilikuwa nikienda nafikia kwake
Am serious i tell u....wee ngoja nije huko kwenu kwa kina mwakipesile kwannza tupelekeane motooo wee na wokovu utapatika huko huko ndani ya mbususuHa ha,hauko serious
Vipi tena mrembo mbona unabadilisha gear angani tenaHata sikuhitaji saivi
Nimesikitika sana kwa yaliotokea hadi nahisi jumapili kwangu kua ngumu!Nilifunga ndoa then baada ya hapo ikawa ndoa jina sikuwahi ishi nae ivo ikanibidi niliweka hadharani kuwa sina ndoa tena
BarikiwaNimesikitika sana kwa yaliotokea hadi nahisi jumapili kwangu kua ngumu!
Yote ya yote sorry, natumaini ulisha vuka kwenye hali ya maumivu na sasa upo ok.
Ila jua nyakati hazidumu one day utaongea kwa namna nyingine yenye furaha na amani.
Usijali.Hapana,we utakuwa na maradhi mkuu ..siyo kwa orodha ile
Sema achana tena na mamitandao ushakuwa mke wa mtu, ukija huku lazima tule tunda kimasiharaHabari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Mbarikiwe sana wana JF.
To yeye nakusalimu 😂🤣🤣🤣 sema mashangazi wa mbeya mna shida sana 😆😆Habari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu nimefanikiwa kuolewa nilitolewa posa tar 14/7/2017 na mahari 16/9/2017.
Mengi nimepitia ya kukwaza na kukwazwa lakini yote yako ndani ya mfumo wa maisha ya binadamu yapasa kujili.
Wanawake wenzangu mume anapatikana popote na katika umri wowote na kwa hali yoyote(am a singlemom) kikubwa kujitunza hata ukutane na eat and run wangapi wewe vumilia, time will tell. Mhusika Mungu akubariki sana kipenzi.Asante sana.
NB: No sendoff or weddingcard, we are for making goodfamily ourkids is ourcelemon.
Mbarikiwe sana wana JF.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ilishakufa imesalia skeleton
Acha unaaaNdoa ina hali gani mpaka Sasa?