Mungu ni mwema, nimefanikiwa kupata mume

Sijaelewa hapo mwisho..ni kwamba furaha imezidi mkuu mpaka ukakosea kutype au...anyway hongera sana mkuu
 
Namhurumia huyo kidume, unless uwe na adabu, umsahau huyo ex wako, la sivyo jamaa aweza kupata kiharusi.
 

hongereni sana, mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa.
 
Mama hongera, at least moyo wako utakuwa na amani. Hamna ulichobakiza maishani zaidi ya kujiendeleza kimaisha huku ukiimarisha familia yako. Utulizane sasa!
 
Mkuu acha uchuro basi
Sio Uchuro Khantwe kwa dunia ya sasa kuna mambo sio ya kuyaweka wazi hadharani mpk uhakikishe umeshafanikiwa 100% watu wamekuwa na roho mbaya sana wakiona tu unatangaza kuwa unakaribia kufanikiwa jambo fulani wanalivuruga...na kuhusu matukio ya Bwana harusi kuingia mitini siku chache kabla ya harusi ni mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…