Mungu ni Mwema sana

Mungu ni Mwema sana

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote.

Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia.
Mungu ni wa yale yaliyoshindikana kibinadamu.
 
Yeah!

Ashukuriwe mwenyezi Mungu ambaye hana upendeleo na ubinafsi,ashukuriwe mwenyezi Mungu ambaye ni mwenye huruma na upendo, ashukuriwe mwenyezi Mungu ambaye anasamehe na mwenye kurehemu!

Hata kama tunapita katika pito la aina gani Mungu akuwa ni Mungu tu.

Asante mleta mada.
 
Back
Top Bottom