Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hata wachezaji anakopi Azam. Manula, Bocco, Wawa sijui washwa, Nyoni woote hawa ni kwa hisani ya Bakhresa.Mhindi kawa mtu wa ku copy na ku paste biashara za Adam.
Uwezo wa kufikiri ukipungua kutokana na mahaba na kitu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona OKW BOBAN SUNZU anataka kutuaminisha kilichopo shingoni kwa Kagere leo na kile cha jumamosi ni sawa.
Wazee wa Power bank bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh. Basi mufatishe tutakachokifanya kesho ili tuzidi kuwaumiza.Yani nawataka kivyovyote bado naumia sana kuona natoa draw na vyura.
Hizi kauli muziwachage kwani mwisho wa siku huwa zinawaweka vichwa chini.Mtani wakati huu tukikutana umeumia vibaya sana taka usitake
Hahahaaaa. Wabadilike hawa 5imba.Uwezo wa kufikiri ukipungua kutokana na mahaba na kitu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi kauli ndio zilifanya nichape mkono mwingi sana mtaani siku ile mnafurahia draw πOooh. Basi mufatishe tutakachokifanya kesho ili tuzidi kuwaumiza.
Tuna kikosi bora na cha gharama kuliko vyote Tanzania, tuna kila kitu ambavyo vilabu vingine havina ukiachilia mbali Azam fc (kwenye facilities tu)Hizi kauli muziwachage kwani mwisho wa siku huwa zinawaweka vichwa chini.
Mpira unachezwa uwanjani Mtani na sio hapa Jf kwenye Jukwaa la Sport ujue.
Oooh umezikumbuka nilizokunyooshaga enzi za marehemu Patrick Mutesa Mafisango ama kweli historia na ikumbukwe daima πππHahahaaaa. Wabadilike hawa 5imba.
Azam fc tumkopi kufeli kwake au tumemkopi nini?Mhindi kawa mtu wa ku copy na ku paste biashara za Azam.
Juzi pale Taifa walitoka kama mabubu. πππHapo ndpo mikiya mnapoumiaga sana mioyo yani huwa Mnajipa matokeo kabla ya mechi
Mpira una matokeo matatu ndyo maana mkitoa droo au mkipigwa mnachanganyiikiwa nyumbu nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule mpira hadi leo haujatuaBaada ya Kagere kunyang'anywa 'chaji' akakosa tija, wakamtoa akaingie yule aliyepigaga ndege ya watu na mpira siku waliyocheza na Mazembe.
hizi kauli ndio zilifanya nichape mkono mwingi sana mtaani siku ile mnafurahia draw π
Tuna kikosi bora na cha gharama kuliko vyote Tanzania, tuna kila kitu ambavyo vilabu vingine havina ukiachilia mbali Azam fc (kwenye facilities tu)
.
Kudraw na nyie ni fedheha ndio maana nataka niwakate kauli tukutane tena nikunyooshe safari hii Manula hatumtaki arudi Azam fc.
Deogratius Kanda ndani, Meddy Kagere ndani, Ibrahim Ajib ndani, Francis Kahata ndani bila kumsahau Beno David Kakolanya yelewiiii mtani ukiokoka tena naenda kuvaa jezi yenu pale Jangwanj naita na vyombo vya habariπ
Huhuhuhu sasa subiri
JIPOZE NA HII MTANI. π
Hamkawiagi kutukimbia kwani kuna wenzio nawasaka toka jumamosi siwaoni walipo.Huhuhuhu sasa subiri
Afadhali Mtani umekuwa mbunifu katika kutaka kujisahaulisha. πππOooh umezikumbuka nilizokunyooshaga enzi za marehemu Patrick Mutesa Mafisango ama kweli historia na ikumbukwe daima πππ
Endelea kuzikumbuka bila yule mchawi wenu kuingia uwanjani zilikuwa zinajirudia bahati mbaya tuna pazia goliniAfadhali Mtani umekuwa mbunifu katika kutaka kujisahaulisha. πππ
Alafu nyie mkawa mnafurahia au sio?
View attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Kilichotufurahisha ni hivii ndani ya Uwanja hamna mlichotuzidi. Labda power benki tu. ππππππAlafu nyie mkawa mnafurahia au sio?
Kwani mlishinda ngapi wenzetu π