Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hata wachezaji anakopi Azam. Manula, Bocco, Wawa sijui washwa, Nyoni woote hawa ni kwa hisani ya Bakhresa.Mhindi kawa mtu wa ku copy na ku paste biashara za Adam.
Kiwandani kakopi UKWAJU, energy na soon atakopi kununua meli. Akifungua TV, Manara ndio atakuwa mtangazaji ๐ ๐ ๐