Mnavyojinadi mko kisasa halafu mkiamini hizi imani huwa inanisikitisha sana Mtani. πEndelea kuzikumbuka bila yule mchawi wenu kuingia uwanjani zilikuwa zinajirudia bahati mbaya tuna pazia golini
Baada ya Yondani kumuumbua akabaki dhohofu Lihali. Akawa anaanguka anguka tu hajui nini afanye mana power benki ishachukuliwa. ππ
Ball possession uliiona?Kilichotufurahisha ni hivii ndani ya Uwanja hamna mlichotuzidi. Labda power benki tu. ππππππ
Huku Mitandaoni ndio hatuko sawa kwani kwa jinsi mnavyopambwa mnaizidi hadi Liverpool Teh.
Si mlimloga pazia letu Manula akawa haoniMnavyojinadi mko kisasa halafu mkiamini hizi imani huwa inanisikitisha sana Mtani. π
Biashara zake. Ukwaju, Energy Drink etcAzam fc tumkopi kufeli kwake au tumemkopi nini?
Ile ilikua tisha toto ili muogope ππππππ ila Kagere katoa kali ya mwaka Swahiba.
Huku Yanga mkishangilia kwelikweli! Najiuliza mlishinda ngapi vilee?π€£π€£π€£
Unataka kunichosha sasa Mtani. πππE
Ball possession uliiona?
Shot on target mtani uliziona?
Sijui mlituzidi nini embu nikumbushe
.
Mshukuruni sana yule mchawi wenu Kanda angewatengua kiuno
Tukipata fursa ya kukutana na nyie tena Mapinduzi Cup ndio mtajua kumbe kachumbari si mboga ni kitu tu cha kusaidia kulisha ugali π€£π€£π€£Fanyeni hivyo basi Mtani tuone kilichomtoa Kanga manyoya. Teh
Ila huwa unaniangusha Mtani. Hujui tu. π€£π€£π€£π€£ Yaani mambo yakiharibika huonekani.
Hahahaaaa. Lol.Si mlimloga pazia letu Manula akawa haoni
Dua yako ikubaliwe, AaminUnataka kunichosha sasa Mtani. πππ
Nionavyo tuzidi kuungana na OKW BOBAN SUNZU kuombea tukutane Zanzibar kukata mzizi wa fitina. Kikubwa nyie tufuateni msitukimbie. Tukifungwa na nyie fungweni, tukishinda na nyie shindeni. π
Cha ajabu ye ndio anaogopwa sasa. ππIle ilikua tisha toto ili muogope πππ
Dawa yenu ishachemka muda si mrefu itaipuliwa jikoniCha ajabu ye ndio anaogopwa sasa. ππ
Hata tarehe 04 mliuaminisha umma wenu kwamba mtatoa kichapo kikali hatimaye mambo yakageuka.Tukipata fursa ya kukutana na nyie tena Mapinduzi Cup ndio mtajua kumbe kachumbari si mboga ni kitu tu cha kusaidia kulisha ugali π€£π€£π€£
mbumbumbu fc vs vyura fc.View attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Sare na mabingwa imewapa jeuri eeh ShadeeyaMtani kwani we hutamani kukutana tena na Timu ya Wananchi? π
Kwasababu kwenye TPL tukitoa sare tunahesabu tumepoteza mchezo
Sikuona mlipotuzidi sasa mtani statistics zinajieleza huyo pazia ana makosa yake yaleyaleHahahaaaa. Lol.
Kwenye Soka mchawi mbinu tu. Ukishazidiwa mbinu ndio inakuwa basi.
Subira kidogo tutajua kila kituHata tarehe 04 mliuaminisha umma wenu kwamba mtatoa kichapo kikali hatimaye mambo yakageuka.
Hivyo hii kauli yako hata siishangai Ses.
Sasa hizo ni asset za Simba au mtu binafsi?Biashara zake. Ukwaju, Energy Drink etc