Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

E
Kilichotufurahisha ni hivii ndani ya Uwanja hamna mlichotuzidi. Labda power benki tu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ

Huku Mitandaoni ndio hatuko sawa kwani kwa jinsi mnavyopambwa mnaizidi hadi Liverpool Teh.
Ball possession uliiona?
Shot on target mtani uliziona?
Sijui mlituzidi nini embu nikumbushe
.
Mshukuruni sana yule mchawi wenu Kanda angewatengua kiuno
 
E

Ball possession uliiona?
Shot on target mtani uliziona?
Sijui mlituzidi nini embu nikumbushe
.
Mshukuruni sana yule mchawi wenu Kanda angewatengua kiuno
Unataka kunichosha sasa Mtani. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Nionavyo tuzidi kuungana na OKW BOBAN SUNZU kuombea tukutane Zanzibar kukata mzizi wa fitina. Kikubwa nyie tufuateni msitukimbie. Tukifungwa na nyie fungweni, tukishinda na nyie shindeni. ๐Ÿ˜…
 
Fanyeni hivyo basi Mtani tuone kilichomtoa Kanga manyoya. Teh

Ila huwa unaniangusha Mtani. Hujui tu. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Yaani mambo yakiharibika huonekani.
Tukipata fursa ya kukutana na nyie tena Mapinduzi Cup ndio mtajua kumbe kachumbari si mboga ni kitu tu cha kusaidia kulisha ugali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tukipata fursa ya kukutana na nyie tena Mapinduzi Cup ndio mtajua kumbe kachumbari si mboga ni kitu tu cha kusaidia kulisha ugali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hata tarehe 04 mliuaminisha umma wenu kwamba mtatoa kichapo kikali hatimaye mambo yakageuka.

Hivyo hii kauli yako hata siishangai Ses.
 
Back
Top Bottom