Ushajipangia matokeo tayari ukipigwa unaanza kulaumu wachezaji, hebu acha kununua mechi cheza kwa uhalisiaView attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Copy and paste inayozungumzwa ni mali binafsi au club?Sasa hizo ni asset za Simba au mtu binafsi?
Watoto wa Haji ManaraVyura wakimpiga mtibwa na sisi tutampga azam ili tukutane fainali
Wakioigwa na mtibwa na sisi tunapigwa na azam ili tukutane mshindi wa 3
Hakuna kukimbiana hapa mpaka watueleze ile sare waliitoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi unahusu club ya Simba dhidi ya vyura we mbute vipi.Copy and paste inayozungumzwa ni mali binafsi au club?
Tunawaomba Mtibwa wasikubali kutumika kukomaa hii vita siyo yao. Hii wawaachie wenyewe US vs IRAN, lazima mtu afundishwe adabu maana draw anashangilia kuona ni ushindi!Naomba kila mtu ashinde mechi zake,tatizo watawaachia mtibwa ili watukwepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mechi gani inaanza? Tuombe ZFA wahakikishe inaanza mechi ya Yanga na Mtibwa ili wasije wakala konaVyura wakimpiga mtibwa na sisi tutampga azam ili tukutane fainali
Wakioigwa na mtibwa na sisi tunapigwa na azam ili tukutane mshindi wa 3
Hakuna kukimbiana hapa mpaka watueleze ile sare waliitoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhindi kamuiga Mpemba ukwaju wk!Mana'ha juzi kaonge ahadi machozi yanamlenga lenga. Anasema mhindi wa watu anajitahidi kuuza 'ukwaju' aliomuiga Mpemba ili 5imba walipwe mshahara kwa wakati, lkn uwanjani hawana commitment [emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya Kagere kunyang'anywa 'chaji' akakosa tija, wakamtoa akaingie yule aliyepigaga ndege ya watu na mpira siku waliyocheza na Mazembe.
hirizi FC.View attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Mikia FC buana....HIRIZI FC.na ulivyokua mtupu kichwani lengo lako uoneshe cheni alovaa best mahirizi of january
Hivi unajua miaka mingapi sasa Simba SC haijafungwa na gongowazi zaidi ushindi kwao droo?Mikia wana mdomo balaa wanadhani yule maza wao atakuwepo! Safari hii hatutaki sare ni kuwachapa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanataka akose cha kusema jaman.Ubavu wa kushindana na sisi Uwanjani unao?
Au ndio unataka baada ya mechi mumfedheheshe Manara?
hahhahaha.....inamaana watanzania wote hawana macho.Hivi unajua miaka mingapi sasa Simba SC haijafungwa na gongowazi zaidi ushindi kwao droo?
Yule refa alikubebeni Vyura, Yondani alitakiwa kadi nyekundu kwa kumfanyia rafu mtu wa mwisho..!
Good idea [emoji23][emoji23][emoji23]Kwakwel wakifungwa na mtibwa na ss tujifungishe kwa Azam ili tukutane
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hamkawiagi kutukimbia kwani kuna wenzio nawasaka toka jumamosi siwaoni walipo.
Sapta Sapta
Van pebles
Mtoto halali na hela.
Siku hizi muonekano wa hirizi umekuwa modified zingine zinatengenezwa mfumo wa pete, zingine mfumo wa cheni ndio vijana wa siku hizi wanavyovaa hirizi sii kama wale wazee wa zamani walivyokuwa wanavaa madude meusi au mekundu. Uzuri aliyetoa taarifa ni mtu wanayecheza wote timu moja ya Taifa na walikuwa wote timu ya mikiaView attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana