Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Copy and paste inayozungumzwa ni mali binafsi au club?
Huu uzi unahusu club ya Simba dhidi ya vyura we mbute vipi.
Sema Simba inaiga nini kutoka Azam fc kupitia Mo?
.
Sasa sisi wana Simba ukituambia Mo anaiga kutengeneza mingano au vinywaji sisi inatuhusu nini kwani bakhresa ndiye wa kwanza kuunda hivyo vitu mbute mnaumwaga nini lakini
 
Vyura wakimpiga mtibwa na sisi tutampga azam ili tukutane fainali
Wakioigwa na mtibwa na sisi tunapigwa na azam ili tukutane mshindi wa 3
Hakuna kukimbiana hapa mpaka watueleze ile sare waliitoa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mechi gani inaanza? Tuombe ZFA wahakikishe inaanza mechi ya Yanga na Mtibwa ili wasije wakala kona
 
Jamaa una maneno wewe.... Utakuwa shabiki wa Mtibwa wewe!
Mana'ha juzi kaonge ahadi machozi yanamlenga lenga. Anasema mhindi wa watu anajitahidi kuuza 'ukwaju' aliomuiga Mpemba ili 5imba walipwe mshahara kwa wakati, lkn uwanjani hawana commitment [emoji23][emoji23][emoji23]
Mhindi kamuiga Mpemba ukwaju wk!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikia wana mdomo balaa wanadhani yule maza wao atakuwepo! Safari hii hatutaki sare ni kuwachapa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua miaka mingapi sasa Simba SC haijafungwa na gongowazi zaidi ushindi kwao droo?

Yule refa alikubebeni Vyura, Yondani alitakiwa kadi nyekundu kwa kumfanyia rafu mtu wa mwisho..!
 
Hivi unajua miaka mingapi sasa Simba SC haijafungwa na gongowazi zaidi ushindi kwao droo?

Yule refa alikubebeni Vyura, Yondani alitakiwa kadi nyekundu kwa kumfanyia rafu mtu wa mwisho..!
hahhahaha.....inamaana watanzania wote hawana macho.
 
View attachment 1315872

Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.

View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Siku hizi muonekano wa hirizi umekuwa modified zingine zinatengenezwa mfumo wa pete, zingine mfumo wa cheni ndio vijana wa siku hizi wanavyovaa hirizi sii kama wale wazee wa zamani walivyokuwa wanavaa madude meusi au mekundu. Uzuri aliyetoa taarifa ni mtu wanayecheza wote timu moja ya Taifa na walikuwa wote timu ya mikia
 
Back
Top Bottom