Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Mashindano haya hayana utaratibu wa kutafuta mshindi wa tatu since 2018 to twenre twenre
Daaah ndio washatuponyoka hivyo!!!Au inabidi sheria ndogo itungwe chap chap iwepo mshindi wa 3 mwaka huu!
 
Daaah ndio washatuponyoka hivyo!!!Au inabidi sheria ndogo itungwe chap chap iwepo mshindi wa 3 mwaka huu!
Mkuu mngekutana nao si dhani kama mngewafunga kwa urahisi. Ni Kama vile wamepata nguvu mpya wananchi.
 
Ni kweli hujakosea kagere imani yake iko kwa mungu wake wa cheni, maana kuna wengine mungu wao anatumia tasbihi na wengine rozali,.imani ni imani, wengine wanasujudu uwanjani hakuna tofauti ndugu,, imani ni sawa na catalyst au motivator katika kufanikisha jambo furani,.na ndio maana sio kila mtu anaitumia, wengine hawaamini chochote, na siku nikaenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe hujitambui kabisa.
 
Yaani wewe hujitambui kabisa.
Wewe unayejitambua mbona umeshindwa kumtaja striker aliyeko mbuteni anayemzidi Bocco kwa chochote yani ndani ya uwanja na nje?
.
Mtaje na defender wa mbuteni anayemzidi Pascal Wawa ndanina nje ya uwanja nani huyo
Alafu umtaje na defender anayemzidi Nyoni ndani na nje ya kiwanja aliyeko mbuteni la sivyo wewe ndiye hujitambui tena zuzu kabisa
.
Note; navyoandika ndani ya kiwanja namaanisasha kiwango kikubwa cha uchezaji kwenye nafasi yake.
Na nje ya kiwanja namaanisha fedha kiwango cha mshahara anacholipwa na mengineyo.
.
Miraji Athuman mshahara wake tu tunalipa midfielders wa mbute wote chura churani wewe😝😝
 
Kwani na nyie mna uwanja? Ule wa mikeka usio na viti sio uwanja ule. Ndio maana TFF hawajatupa fyrsa ya kuwatandikia pale mng'oe nyasi (maana viti hamna)

Ila nimesikia kuna mtu kaagiza majamvi...mko vizuri
Kwa hadhi ya club ya Simba kile sio kiwanja cha kutumika kwa mechi zetu kiusalama zaidi si unaona tunavyoijaza taifa sasa Mo Arena tutafanya nini?KWANZA JANA MTIBWA KAKUPAPASA
.
Pale wanacheza dada zetu Simba Queens sisi wazee wa kazi tunafanya mazoezi tu mpaka pale tutakapokiwa na uwezo wa kujenga kiwanja kikubwa zaidi.
Pale viko viwanja viwili semeni tuwaazime hata kimoja.
.
 
Igeni.
Kombe la Mapinduzi ni bonanza la mazoezi.
LINGEKUWA BONANZA MNGECHEZESHA FIRST 11 YENU?
.
HIVI CHURANI NANI AKIJA UNYAMANI ATAPATA NAFASI YA KUINGIA FIRST 11 MAANA ALIKUJA NIYONZIMA AKAWA WA BENCHI, AJIB NI BENCHI 😝😝
mtibwa hoyeee
 
mungu wako hajibu maombi kila prediction yako hola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…