Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtibwa kakupapasa hukoKaunda ilikuwepo enzi hizo Mo hajazaliwa
Igeni.Mtibwa kakupapasa huko
Mashindano haya hayana utaratibu wa kutafuta mshindi wa tatu since 2018 to twenre twenreNa sisi tunauza mechi kwa azam ili tukutane mshindi wa 3
Daaah ndio washatuponyoka hivyo!!!Au inabidi sheria ndogo itungwe chap chap iwepo mshindi wa 3 mwaka huu!Mashindano haya hayana utaratibu wa kutafuta mshindi wa tatu since 2018 to twenre twenre
Mkuu mngekutana nao si dhani kama mngewafunga kwa urahisi. Ni Kama vile wamepata nguvu mpya wananchi.Daaah ndio washatuponyoka hivyo!!!Au inabidi sheria ndogo itungwe chap chap iwepo mshindi wa 3 mwaka huu!
Daah tungewapapasa vyema wananchi,bahati yao!!!!Mkuu mngekutana nao si dhani kama mngewafunga kwa urahisi. Ni Kama vile wamepata nguvu mpya wananchi.
Igeni.
Kombe la Mapinduzi ni bonanza la mazoezi.
Wamewatoroka. Eeeh nao wanaogopa aibu wehh! Si unaona wamekunya saaana kwa maneno baada ya game ya taifa. Ni kama walipata nguvu ya maajabu ambayo hawakuitaraji.Daah tungewapapasa vyema wananchi,bahati yao!!!!
Siku hizi muonekano wa hirizi umekuwa modified zingine zinatengenezwa mfumo wa pete, zingine mfumo wa cheni ndio vijana wa siku hizi wanavyovaa hirizi sii kama wale wazee wa zamani walivyokuwa wanavaa madude meusi au mekundu. Uzuri aliyetoa taarifa ni mtu wanayecheza wote timu moja ya Taifa na walikuwa wote timu ya mikia
Kwani na nyie mna uwanja? Ule wa mikeka usio na viti sio uwanja ule. Ndio maana TFF hawajatupa fyrsa ya kuwatandikia pale mng'oe nyasi (maana viti hamna)Uwanja anajenga lini?
Yaani wewe hujitambui kabisa.Sasa kuna striker gani churani wa kumzidi John Rafael Bocco?
Kuna defender gani mbuteni wa kumzidi Pascal Wawa?
Kuna defender gani ndala wa kumzidi Erasto Nyoni? MANULA SAWA LILE NI SHATI
.
Bakhresa ni mtu wa kwanza duniani kuunda energy drinks, kuoka madubwasha yake au kuuza ukwaju?
Alafu hizi ni personal business za Mo sisi wana Simba hazituhusu, jengeni uwanja huko mtakaa Kaunda hadi lini
Wewe unayejitambua mbona umeshindwa kumtaja striker aliyeko mbuteni anayemzidi Bocco kwa chochote yani ndani ya uwanja na nje?Yaani wewe hujitambui kabisa.
Kwa hadhi ya club ya Simba kile sio kiwanja cha kutumika kwa mechi zetu kiusalama zaidi si unaona tunavyoijaza taifa sasa Mo Arena tutafanya nini?KWANZA JANA MTIBWA KAKUPAPASAKwani na nyie mna uwanja? Ule wa mikeka usio na viti sio uwanja ule. Ndio maana TFF hawajatupa fyrsa ya kuwatandikia pale mng'oe nyasi (maana viti hamna)
Ila nimesikia kuna mtu kaagiza majamvi...mko vizuri
LINGEKUWA BONANZA MNGECHEZESHA FIRST 11 YENU?Igeni.
Kombe la Mapinduzi ni bonanza la mazoezi.