Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

🤣🤣🤣
Isijekua wewe ndo yule niliemtongozaga mwaka 2011 akakataa, Leo hiii unatafuta mume, Daaa ila wanawake mnafurahisha sana,
Real story, mwaka 2011 Nilimpenda nikatenga 3,000,000/= Mahari kumtongoza Dem kachomoa na nilimpenda kweli, mpaka leo hii ajaolewa... Kila nikikutana nae, Tunatazamana tu imeisha hiyo
 
Mungu huyo ambaye hajakupatia mume 2024, Ndio Mungu huyohuyo ambaye hawezi kukupatia mume 2025.
 
Wanaonitakia mema wajibu amen!
ni muhim sana kujiepusha na maringo, kiburi na kuchagua wanaume kupita kiasi.

mshirikishe Mungu katika kila hatua unapoelekea kuifikia haja ya moyo wako.

usijifungie sana ndani, toka na utafute kule ambako wanaume wapo.

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuambatana nawe daima2025 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…