MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Zama PM kwangu ,nahisi wewe ndiye uliyeandaliwa kuolewa na mmi ,Sasa mateso yako na shida kwisha njoo tujenge familia wife .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameni mkuu.🙏Wanaonitakia mema wajibu amen!
Subhanaallah!We Rachel P ni mtambo!!!…
kuna uzi wa dogo mmoja alianzisha kutaka ushauri wa kudharauliwa na familia ya binti aliyemuhitaji awe mwenzi wake wa ndoa, ila familia ya dogo ikamletea mazigizaga kisa dogo hajajipata, wewe ukaja ku-comment maneno ya kashfa na kujinadi kwamba una thamani ya matrilioni, sasa binafsi nashangaa mtu mwenye thamani ya matrilioni huyohuyo kashindwa kutafuta mtu wa hadhi yake ma-Dubai huko na Ma-Qatar, ma-Brunei na kwingineko mashuhuri duniani akapata mtu wa thamani yake…, kaja kuleta uzi humu wa kutafuta mume aolewe 😂
Ndomana nilisema mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwa mmerukwa na akili kujiona bora kumbe mavi ya mbuzi 😂
Alipitiwa na shaitwain.
Mi nalaumu sana malezi ya wazazi wa siku hizi, kuwalea watoto wa kike kama wa kiume na matokeo yake ndiyo haya.Wanaonitakia mema wajibu amen!
Mm jobless, aje nmnukishe mapumbuz tuuKama wewe yani
Hajaomba apate man,Nidhamu tu ndiyo itayokusaidia kupata that Man, Nothing else.
Mkuu kumbuka wanaume ni wachache, kati ya hao wachache, waoaji ni wachache zaidi. Kama msichana alishuhudia wenzake kadhaaa waliochangamkia fursa na wakafanikiwa kuolewa, ni wazi kwamba hata yeye hatabaki nyuma.Mi nalaumu sana malezi ya wazazi wa siku hizi, kuwalea watoto wa kike kama wa kiume na matokeo yake ndiyo haya.
Msichana kuishi nyumbani kama mvulana, yaani kuwa na uhuru wa kutengeneza mahusiano na wavulana kabla ya ndoa, kunawaathiri sana wasichana.
Msichana hatafuti mchumba bali anatafutwa, huo ni uhuni.
Msichana akitulizana kwao, thamani yake hupanda na hutafutwa na kuolewa kwa heshima na wahitaji wa kweli na siyo kujitangaza kama hivi.
Kumbuka msemo usemao.. 'Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza'...
Nidhamu ndiyo itakayo amua aidha aolewe ama achezewe.Hajaomba apate man,
Ameomba aolewe.
Huenda man anae tayari.
Umeandilka mengi na Kwa hisia Kali. Naamini ulitamani siku nyingi Rachel aingie kwenye 18zako. Hajaingia Bado. Unaamua kuelewa vibaya kwamba Rachel kaja hapa kutafuta mume, ndo maana hajaandika mengi. Ametaka TU tunaomtakia mema tumbariki Kwa kusema AMEN, ili aolewe na mme wake..!!!!We Rachel P ni mtambo!!!…
kuna uzi wa dogo mmoja alianzisha kutaka ushauri wa kudharauliwa na familia ya binti aliyemuhitaji awe mwenzi wake wa ndoa, ila familia ya dogo ikamletea mazigizaga kisa dogo hajajipata, wewe ukaja ku-comment maneno ya kashfa na kujinadi kwamba una thamani ya matrilioni, sasa binafsi nashangaa mtu mwenye thamani ya matrilioni huyohuyo kashindwa kutafuta mtu wa hadhi yake ma-Dubai huko na Ma-Qatar, ma-Brunei na kwingineko mashuhuri duniani akapata mtu wa thamani yake…, kaja kuleta uzi humu wa kutafuta mume aolewe 😂
Ndomana nilisema mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwa mmerukwa na akili kujiona bora kumbe mavi ya mbuzi 😂
Waugwadu Mill broh Dr am 4 real PhD Bolotoba Takemetochurch mtaa umetulea oneni hii mbuzi
We na mkeo wote mna akili kama bata au mbuzi wa Al-badr wale wanazurura mchana kutwa juaniUmeandilka mengi na Kwa hisia Kali. Naamini ulitamani siku nyingi Rachel aingie kwenye 18zako. Hajaingia Bado. Unaamua kuelewa vibaya kwamba Rachel kaja hapa kutafuta mume, ndo maana hajaandika mengi. Ametaka TU tunaomtakia mema tumbariki Kwa kusema AMEN, ili aolewe na mme wake..!!!!
Na Mimi ndo mme wake, ushanfahamu eeeee!!!!