Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

Ila ni kama utaingia kwenye maisha ya kufugwa hivi
 
Na Mimi mniombee mwaka huu nioe,mnapomuombea huyo dada aolewe mnikumbuke na Mimi nipate kuoa...Amina

Ila nna watoto wawili,Sasa sijui masingo faza na Sisi tuna msala kama masingo Maza!!!
 
Ungeweka cv yako ya kutaka mume ingependeza sana, isije ikawa una watoto debe, ni single mother sugu, useme una elimu gani, unafanya kazi gani, una umri gani, una dini na imani gani, ni mweusi au mweupe, si vibaya ukitaja kabila lako. Tunaohitaji mke tutajipima kuona kama tunakufaa
Hajatafuta mume jamii forums.
Kamuomba Mungu amsaidie apate mume.
Kwahiyo mambo ya kuleta cv humu jukwaani si muhimu kwakuwa sisi kazi yetu ni kusema:" Amen" ili Mungu ampelekee mume toka popote bila kujali cv zake.
 
Weka sifa za huyo mume hapa wamba wapime uzito. Ila kigezo cha mpunga usikipe kipaumbele, kila lenye kheri.
Kwani wanaume hatuna vipimo? Mimi kipimo changu lazima ni chimbe mgodi kwa maana wengine wanadhani nichakujolea tu, yaani duu, unashangaa inzi hao
 
Sala sio maneno tu kutamka , unatamka ama unauliza hitaji lako sincerely from your soul, heart then into your head.
But it must be real otherwise you're wasting your time
 
Kwa ile ID yako ya zamani nikuhakikishie utasubiri kidogo
 
Back
Top Bottom