Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

Mungu nisaidie 2025 nipate mume niolewe

We Rachel P ni mtambo!!!…

kuna uzi wa dogo mmoja alianzisha kutaka ushauri wa kudharauliwa na familia ya binti aliyemuhitaji awe mwenzi wake wa ndoa, ila familia ya dogo ikamletea mazigizaga kisa dogo hajajipata, wewe ukaja ku-comment maneno ya kashfa na kujinadi kwamba una thamani ya matrilioni, sasa binafsi nashangaa mtu mwenye thamani ya matrilioni huyohuyo kashindwa kutafuta mtu wa hadhi yake ma-Dubai huko na Ma-Qatar, ma-Brunei na kwingineko mashuhuri duniani akapata mtu wa thamani yake…, kaja kuleta uzi humu wa kutafuta mume aolewe 😂

Ndomana nilisema mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwa mmerukwa na akili kujiona bora kumbe mavi ya mbuzi 😂

Waugwadu Mill broh Dr am 4 real PhD Bolotoba Takemetochurch mtaa umetulea oneni hii mbuzi
 
Subhanaallah!
 
Wanaonitakia mema wajibu amen!
Mi nalaumu sana malezi ya wazazi wa siku hizi, kuwalea watoto wa kike kama wa kiume na matokeo yake ndiyo haya.

Msichana kuishi nyumbani kama mvulana, yaani kuwa na uhuru wa kutengeneza mahusiano na wavulana kabla ya ndoa, kunawaathiri sana wasichana.

Msichana hatafuti mchumba bali anatafutwa, huo ni uhuni.

Msichana akitulizana kwao, thamani yake hupanda na hutafutwa na kuolewa kwa heshima na wahitaji wa kweli na siyo kujitangaza kama hivi.

Kumbuka msemo usemao.. 'Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza'...
 
Mkuu kumbuka wanaume ni wachache, kati ya hao wachache, waoaji ni wachache zaidi. Kama msichana alishuhudia wenzake kadhaaa waliochangamkia fursa na wakafanikiwa kuolewa, ni wazi kwamba hata yeye hatabaki nyuma.
 
We Rachel P ni mtambo!!!…

kuna uzi wa dogo mmoja alianzisha kutaka ushauri wa kudharauliwa na familia ya binti aliyemuhitaji awe mwenzi wake wa ndoa, ila familia ya dogo ikamletea mazigizaga kisa dogo hajajipata, wewe ukaja ku-comment maneno ya kashfa na kujinadi kwamba una thamani ya matrilioni, sasa binafsi nashangaa mtu mwenye thamani ya matrilioni huyohuyo kashindwa kutafuta mtu wa hadhi yake ma-Dubai huko na Ma-Qatar, ma-Brunei na kwingineko mashuhuri duniani akapata mtu wa thamani yake…, kaja kuleta uzi humu wa kutafuta mume aolewe 😂

Ndomana nilisema mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwa mmerukwa na akili kujiona bora kumbe mavi ya mbuzi 😂

Waugwadu Mill broh Dr am 4 real PhD Bolotoba Takemetochurch mtaa umetulea oneni hii mbuzi
Umeandilka mengi na Kwa hisia Kali. Naamini ulitamani siku nyingi Rachel aingie kwenye 18zako. Hajaingia Bado. Unaamua kuelewa vibaya kwamba Rachel kaja hapa kutafuta mume, ndo maana hajaandika mengi. Ametaka TU tunaomtakia mema tumbariki Kwa kusema AMEN, ili aolewe na mme wake..!!!!
Na Mimi ndo mme wake, ushanfahamu eeeee!!!!
 
We na mkeo wote mna akili kama bata au mbuzi wa Al-badr wale wanazurura mchana kutwa juani
 
Back
Top Bottom