Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama wewe yaniUpate jibaba likulee
AmenWanaonitakia mema wajibu amen!
Acha roho mbaya๐Kama singo mama NO WAY.
Njoo PM nkupe mbinuWanaonitakia mema wajibu amen!
Weka picha kunogesha uzWanaonitakia mema wajibu amen!
Hapana mkuu kuna mtu yuko hapo ndiyo kaniambia, mimi niko Dodoma man ๐๐พsijaenda nipo home..... Naishi karibu na maeneo hayo...
Kumbe upo dzm hii hii blood
Hajatafuta mume jamii forums.Ungeweka cv yako ya kutaka mume ingependeza sana, isije ikawa una watoto debe, ni single mother sugu, useme una elimu gani, unafanya kazi gani, una umri gani, una dini na imani gani, ni mweusi au mweupe, si vibaya ukitaja kabila lako. Tunaohitaji mke tutajipima kuona kama tunakufaa
Kwani wanaume hatuna vipimo? Mimi kipimo changu lazima ni chimbe mgodi kwa maana wengine wanadhani nichakujolea tu, yaani duu, unashangaa inzi haoWeka sifa za huyo mume hapa wamba wapime uzito. Ila kigezo cha mpunga usikipe kipaumbele, kila lenye kheri.
Ushanipata nipo hapaWanaonitakia mema wajibu amen!
Aseeh nkajua upo mjn hapa....Hapana mkuu kuna mtu yuko hapo ndiyo kaniambia, mimi niko Dodoma man ๐๐พ
AmenWanaonitakia mema wajibu amen!