Bado nina matumain ya kumpata ingawa sijui hata kama ashawahi soma ujumbe huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji mbona unaniangushaHuyu ni dada yangu wa damu kabisa.Miezi 2 mbele atakuja home likizo.Ngosha una ng'ombe wangapi wa kutupa kama mahari?
Duh
Vp jamaa alileta ng'ombe au maneno tuHuyu ni dada yangu wa damu kabisa.Miezi 2 mbele atakuja home likizo.Ngosha una ng'ombe wangapi wa kutupa kama mahari?
Bora hata angeleta maneno. Alikula kona kabisa. 🤣Vp jamaa alileta ng'ombe au maneno tu
Kwahiyo kumbe alikuwa mhuni tu au binti alichomoa akamuona mwana hana swagaBora hata angeleta maneno. Alikula kona kabisa. 🤣