Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

Mkuu usiutese moyo kwa kitu usichokuwa na uhakika wa kukipata

Pole sana
 
Ulishawah kuwa kwenye mahusiana ya kimapenzi na wanawake wangapi hadi sasa na umri wako ni ni miaka mingapi dogo?

Ukijibu Then nitakushauri kitu kizuri sana.
 
Ulishawah kuwa kwenye mahusiana ya kimapenzi na wanawake wangapi hadi sasa na umri wako ni ni miaka mingapi dogo?

Ukijibu Then nitakushauri kitu kizuri sana.
Mimi kwa sasa nina miaka 25

Mpaka sasa nishawahi kuwa na wasichana watatu
Mmoja nikiwa primary na mwingine wa pili secondary na watu baada ya kumaliza shule ni hao tu mkuu
 
Mimi kwa sasa nina miaka 25

Mpaka sasa nishawahi kuwa na wasichana watatu
Mmoja nikiwa primary na mwingine wa pili secondary na watu baada ya kumaliza shule ni hao tu mkuu
OK sawa ngoja nikwambie kitu Kama dogo langu la kiume.
#mwanamke aliliwi hadharani hivyo unajua kwann wengine hawapendi publicity unaweza kumpoteza moja kwa moja na hakakuona mshambaa sana.

#Hata Kama anapenda unajua akiwa na wewe kitatokea nn..!
atakuwa anakupeleka kishezi maana anajua umedata kwake siyo yeye aliyedata in short mwanamke usimuoneshe direct kuwa umekufa kuoza kuwa mgumu (ugumu wa kiumee).
#mwanmke abembelezwi kupitiliza anawindwa kimya kimya mnamaliza huko kikibuma unamuweka kipolo unaendelea mbele.

#kwa huo umri na mahusiano uliyopitia ongeza juhudi Sana unajua experience make perfect Ongeza juhudi za kutongoza acha kulialia..

#Acha kuangalia movie Za kikorea na philipino hizo aziwi practical kwa mademu wa bongo.

#mwisho mchawi pesa tafuta pesa ndio mchawi wa kila kitu..
 
Mungu akusaidie umpate butogwa wako
 
Acha tamaa najua huyo mtoto kweli ni wife material una haki lakini na moderator Farida vip? https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1569976/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…