Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

Aman iwe juu yenu wakuu wa jukwaa hili

Kama kichwa cha cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nishawahi kuleta uzi hapa nikielezea kwa masikitiko makubwa sana ni kwa namna gani namzimikia butogwa, watu waliniponda sana na kudai kuwa nimepotea njia kwa kuwa demu ana sura ya baba yake ni mbaya sijui hana shep

Niliwashangaa sana walionibeza maana wao wanazani kila aliye mbaya kwao basi pia atakuwa mubaya kwa wengine,

Mimi kwangu butogwa ni wife material ni mwanamke aliye kamilika kuanzia sura, umbo urefu hadi akili

Kuna watu watasema kuwa yule dada ni msomi hivyo sitaweza lakin mimi nitawacheka kisukuma hiiiiiiii afu nitarudi kwenye mandiko ya kitabu kimoja kitakatifu cha bible ambacho kimesema ishini na wanawake kwa akili tu, kwa msitari huo wa biblia inamanisha kuwa mwanamke akikuzid urefu siyo mbaya pia mwanamke akikuzidi rangi siyo mbaya pia mwanamke akikuzidi kipato siyo mbaya ila kibaya tu asikuzidi akili na pia kibaya zaid ni kuwa malio hicho ndo kibaya

Mimi bado sijachoka kukupenda wewe butogwa shija mimi nakupenda sana tena upendo kutoka moyoni kabisa

Nakuhitaji sana wewe dada

Ni bora nipigwe mawe lakin si kukosa upendo wako

Ni ukweli usio na shaka ya kwamba mimi hunijui wala hujawahi kuniona lakin mimi nakupenda sana, naomba ujue hilo na kama itakupendeza bas unijue pia

Butogwa wewe ndo mwanamke ambaye niko tiar nikose chakula lakini siyo kukukosa wewe, ndo maana ninamuomba Mungu mwenyezi afanikishe katika hili

Mimi ni kijana mwenzako wa kisukuma

Nakuzimikia sana butogwa

Kwa wasiojua maana ya butogwa, BUTOGWA ni jina la kisukuma likiwa na maana ya UPENDO AU PENDO

Naomba dunia nzima inisaidie kufukikisha ujumbe huu kwa mhusika naomba hata media au blog zinisaidie sana

Naomba dunia nzima ijue kuwa nampenda huyu dada

Asanteni sana

Nawasilisha

View attachment 1193725View attachment 1193726View attachment 1193727
Wewe umemuweka picha zake hapa na yeye anasubiri za kwako azione ndio muanzie hapo.
 
Mleta mada Ni kidume Cha mjini kitapeli kula kulala kwa wazazi
Kinatafuta Wanawake wenye kazi wa kumlea na kumuweka kinyumba!!! Hakipati mtu.Vidume koko Kama mleta mada baada ya vyuma kukaza huwinda Wanawake wenye kazi au biashara vipate pa kupumlia.Kidume tafuta Cha kufanya iwe umachinga au kibarua Cha kubeba nzege au mizigo masokoni.Internet hutapata mwanamke wa kumtapeli kuoa.Mleta mada pambana na Hali yako
Mkuu mbona umeniandama sana

Kwani huyu binti ni mtoto wa nani kwa mfano na ana kazi gan hadi nimpende?

Mimi nimempenda yeye kama yeye wala siyo kazi maana hata kazi hana
 
Aman iwe juu yenu wakuu wa jukwaa hili

Kama kichwa cha cha habari kinavyosomeka hapo juu

Nishawahi kuleta uzi hapa nikielezea kwa masikitiko makubwa sana ni kwa namna gani namzimikia butogwa, watu waliniponda sana na kudai kuwa nimepotea njia kwa kuwa demu ana sura ya baba yake ni mbaya sijui hana shep

Niliwashangaa sana walionibeza maana wao wanazani kila aliye mbaya kwao basi pia atakuwa mubaya kwa wengine,

Mimi kwangu butogwa ni wife material ni mwanamke aliye kamilika kuanzia sura, umbo urefu hadi akili

Kuna watu watasema kuwa yule dada ni msomi hivyo sitaweza lakin mimi nitawacheka kisukuma hiiiiiiii afu nitarudi kwenye mandiko ya kitabu kimoja kitakatifu cha bible ambacho kimesema ishini na wanawake kwa akili tu, kwa msitari huo wa biblia inamanisha kuwa mwanamke akikuzid urefu siyo mbaya pia mwanamke akikuzidi rangi siyo mbaya pia mwanamke akikuzidi kipato siyo mbaya ila kibaya tu asikuzidi akili na pia kibaya zaid ni kuwa malio hicho ndo kibaya

Mimi bado sijachoka kukupenda wewe butogwa shija mimi nakupenda sana tena upendo kutoka moyoni kabisa

Nakuhitaji sana wewe dada

Ni bora nipigwe mawe lakin si kukosa upendo wako

Ni ukweli usio na shaka ya kwamba mimi hunijui wala hujawahi kuniona lakin mimi nakupenda sana, naomba ujue hilo na kama itakupendeza bas unijue pia

Butogwa wewe ndo mwanamke ambaye niko tiar nikose chakula lakini siyo kukukosa wewe, ndo maana ninamuomba Mungu mwenyezi afanikishe katika hili

Mimi ni kijana mwenzako wa kisukuma

Nakuzimikia sana butogwa

Kwa wasiojua maana ya butogwa, BUTOGWA ni jina la kisukuma likiwa na maana ya UPENDO AU PENDO

Naomba dunia nzima inisaidie kufukikisha ujumbe huu kwa mhusika naomba hata media au blog zinisaidie sana

Naomba dunia nzima ijue kuwa nampenda huyu dada

Asanteni sana

Nawasilisha

View attachment 1193725View attachment 1193726View attachment 1193727

Mtoto analipa!

Anafaa kwa matumizi!

Mkuu komaa upige!
 
Mkuu mbona umeniandama sana

Kwani huyu binti ni mtoto wa nani kwa mfano na ana kazi gan hadi nimpende?

Mimi nimempenda yeye kama yeye wala siyo kazi maana hata kazi hana
Mbona unapenda Farida ana kazi huyu wa pili Buhogwa baada ya kumwacha Farida ana kazi pia mbona hukwenda kutafuta wasio na kazi ? Jamii forums Sio danguro la kuwinda Wanawake Leo uko kwa Farida Kesho kwa Buhogwa.Ok
 
Back
Top Bottom