Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

kwani nitamuoa bure?


Ndiyo, lazime uwalipe wazazi wake kitu fulani, pesa au ng'ombe. Swali ni malipo hayo yanaangalia kitu gani kabla ya kukadiria kiasi ??, je malipo hayo yanafanana kati ya wanawake wanaoolewa??--- ukitafakari ndipo utaona kwamba hayo malipo ni kama "bei ya bidhaa" dukani.
 
Mbona nimemuwahi Mimi na ukizidi kumfuatafuata nitamwambia Musiba akuchomoe betri.
 
Mweupe wa kuzaliwa siyo wa rangimbili ana ng'ombe wengi kama 30 na zaidi kuliko mweusi wa kikurya mwenye ng'ombe watano.
 
Hayo malipo huwa yanategemea na muoaji mwenyewe kias cha pesa au mifugo aliyoambiwa kulipa kama anayo

Ka mfano mimi nikiambiwa nitoe mahali ya milion mia kwa butogwa huo utakuwa uongo maana sina lakin kuna mwingine akiambiwa atoe bilion moja anaweza toa maana anayo

Kwahiyo shida ipo kwetu sisi waoaji
 
Mweupe wa kuzaliwa siyo wa rangimbili ana ng'ombe wengi kama 30 na zaidi kuliko mweusi wa kikurya mwenye ng'ombe watano.


Kwahiyo rangi yake ndiyo thamani yake!!, kumbuka ubora wa bidhaa ndiyo kipimo cha thamani yake.

Sasa huyo dada utamtofautishaje na bidhaa kama kanga au simu?!!, siku ambayo mumewe atakapo mwambia; ""unajua wewe nimekutolea kwenu ng'ombe mia hivyo acha uvivu wako" --- hapo utasemaje??🤣🤣
 
Sasa kama hauna kamilioni kamoja unatafuta nini hapa? Unatupotezea muda na nafasi nenda Sinza kwenye saizi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…