Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

Mungu nisaidie bado nina ndoto za kumuoa Butogwa Shija

Naona stor za mvulana na butogwa hapa.utoto utakuponza mvulana wa beira kutumia picha za mtu bila idhini yake.
 
Yote maisha
Screenshot_2019-08-31-21-44-17.jpeg
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Naona umedandia treni kwa mbele eeh..

Hivi unaweza kunitajia majina yake matatu uyo mwanadada wa kisukuma Butogwa

Sio lazima unitajie.. ukishayajua tu unaweza ukafuta comment yako
 
Huyu Angeolewa na Diamond Platnumz mambo ingekuwa bieee

Hata watoto wangekuwa bomba.
 
Huyu ni dada yangu wa damu kabisa.Miezi 2 mbele atakuja home likizo.Ngosha una ng'ombe wangapi wa kutupa kama mahari?


Umemfanya nduguyo kama bidhaa, unataka kumuuza kwa thamani ya ng'ombe kama unauza gari??

Thamani ya Ng'ombe = Thamani ya dadako!! 😪😪
 
Back
Top Bottom