MUNGU saidia taifa hapo kesho lisihaibike..

MUNGU saidia taifa hapo kesho lisihaibike..

Taarifa rasmi imetoka Kama timu yako haishiriki AFL hauruhusiwi kuzungumzia hayo mashindano, mnashauriwa kuelekeza nguvu kwenye mashindano yanayowahusu.
 
Habari..
Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa.
Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho.

1.simba kufungwa goli zaidi
3.

2..umeme kukatika ghafla
Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa nyingi ili siku ya kesho taifa lihaibike,mungu saidia Tanzania.

3..mashabiki watakaoingia na matokeo litawakuta jambo,mpira ni dakika 90 basi vyombo vya usalama kesho ziwe makini,na huduma za kwanza ziwe stand by.

4..kocha robertinho kupewa kwa heri,watasema kachezesha wachezaji.wa ovyo,na itatokea mashabiki kutaka kocha atimuliwe.

5..baada ya mechi Ahmed ALLY atawaomba msamaha mashabiki wote kwa kauli zake za kishamba.

Mungu saidia tanzania
Somo la kiswahili hukuzingatia vema wewe
 
.
 

Attachments

  • F22e1u7WIAIAVvF.jpeg
    F22e1u7WIAIAVvF.jpeg
    36.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom