Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
KabisaHakuna binadamu aliye juu ya Mola.
Ccm raha sanapia speaker mmoja alisema magufuli ni raisi wa milele.
😄😅😃😁😀😄😄😅😃😁😄😄Mchungaji Yule Mpuuzi SanaPia hata mchungaji Mashimo alisema kwa vile msemaji wa team ya Simba hajapokea simu yake na kutoa sadaka,Simba watafungwa goli nyingi na Al Ahly,
Nakumbushia tu.
Huyu naye ni tapeli kama matapeli wengineAkiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.
Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele
ya waumini pepo likamwambia Makonda haingiliki.
Tujikumbushe jinsi Makonda alivyo futwa
View: https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=OFdNPf7JkxEsoLx-
Vudeo 2: Jinsi Pepo lilivyogoma kwenda kwa Makonda
View attachment 2789243
Sahihi kabisaMtu na akili yako huwezi kuwaamini Wachungaji waliowafanya waumini wao ndio maokoto yao
Juzi kapakwa kilainishi, akienda cairo shughuli inakamilikaPia hata mchungaji Mashimo alisema kwa vile msemaji wa team ya Simba hajapokea simu yake na kutoa sadaka,Simba watafungwa goli nyingi na Al Ahly,
Nakumbushia tu.
"...aende akatubu dhambi zake zote au akaanze kusoma shule upya"Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa,
Hahahaaa"...aende akatubu dhambi zake zote au akaanze kusoma shule upya"
Je akienda kutubu hilo gap la kitaaluma ataliziba kwa osmosis?
NaamSahihi kabisa
Kuna askofu halafu kuna nature. Nature haiwezi zuiwa na askofuAkiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.
Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele
ya waumini pepo likamwambia Makonda haingiliki.
Tujikumbushe jinsi Makonda alivyo futwa
View: https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=OFdNPf7JkxEsoLx-
Vudeo 2: Jinsi Pepo lilivyogoma kwenda kwa Makonda
View attachment 2789243
Hakuna Mungu.Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.