Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.
Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele
ya waumini pepo likamwambia Makonda haingiliki.
Tujikumbushe jinsi Makonda alivyo futwa
View: https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=OFdNPf7JkxEsoLx-
Vudeo 2: Jinsi Pepo lilivyogoma kwenda kwa Makonda