MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu

Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa Africa wakiipa sifa Paris kwa kuitaja kwenye baadhi ya mistari yao

Basi ningependa kuuona mnara wa Eiffel mnara wa Paris unaovutia na wenye Historia tamu sana na Adhimu

Lakini kiu kubwa niliyonayo ni kutembelea Jumba la makumbusho la Louvre nikajionee moja kwa moja kazi za mkono za mwanasayansi wangu pendwa wa muda wote ... ikiwemo mchoro wake wa MONALISA,.

Screenshot_20200525-092430.png

Pia nisingesita kukuambia ya kwamba ningependa kuitembekea UGIRIKI binhaki naapa ningejifunza mengi sana hapa...ambavyo nilitamani kuona masalia,miji ya kale,sayansi,Teknolojia na hekaya zake.

iwe kwa masikio yangu na kwa macho yangu.

Ningependa Pia Iraq katika mji wa BABYLON ,na ningependa kwenda sehemu nyingi mno hata kutaja isingetosha hapa, tukiegemea kwenye swala la kujifunza zaidi

kwenda INDIA ilo lingekuwa jambo jingine muhimu zaidi kwanza ,kwasababu ya mila na desturi zao....
Wana dini nyingi sana India zenye mafunzo ya kushtusha sana zaidi ya dini 3000 ziko India na mila tofauti tofauti Kingine ambacho kingenisukuma India ni urembo wa wanawake wao , binafsi navutiwa sana na wale mabinti wa kihindi wanavutia machoni kwa upande wangu kwa kweli.

Nimesoma aina nyingi sana za namna ya kuabudu India na Nchi nyinginezo haswa katika Upagani si kwamba mimi ati ni mjapani La hasha!
Na kuhusu hii kidogo nikapenda kuchangia nanyi

Hakuna anaepinga India itakuwa kinara kwa kuwa na dini nyingi na miungu wengi wa Ajabu watu wanaabudu mpaka manyani kule

Lakini

Kutana na mungu wa kike wa hedhi Kamakhya Devi, huyu anapatikana juu ya Kilima cha Nilachal, Magharibi mwa Guwahati, mji wa Assam huko nchini India moja ya sehemu nyingi nchini India,ambazo watu wanazitembelea kwa wingi sana kila mwaka

Screenshot_20210227-011321.png

Lakini tofauti na miungu wengine wa India Kamakhya Devi , utofauti wake ni kwamba sanamu ya kuabudu ni sehemu za Uke wake tu huyo Kamakhya.

Kingine cha kushangaza ni kwamba chemchemi ya asili eneo la Assam Huwekwa jiwe lenye unyevu na cha kushangaza zaidi juu ya hekalu ni kwamba wanawake wanaovuja damu (hedhi) hawaruhusiwi kuingia hekaluni wanapokuwa katika hedhi.

Kila mwaka hupokea zaidi ya watu laki tano, mungu huyu wa kike wa hedhi au mungu wa damu aitwaye Kamakhaya pia hujianda kuifunga hedhi yake kwa siku tatu kipindi ambacho mahujaji hutambelea sehemu hio ,huifunga hedhi yake hio kwa siku tatu tu za kila mwaka.

Screenshot_20210227-012703.png

Huenda hakuna mahekalu mengi nchini India ambapo hedhi huadhimishwa, lakini hii kwao ina maanisha kukaushwa kama ishara ya nguvu ya mwisho, ikifunua unafiki wa kijamii wa kutazama hedhi kama miiko..

Screenshot_20210227-012816.png

Kamakhya Devi ni maarufu kama mungu wa damu.na Kwa wakati huu ambao mahujaji huja sehemu hii, Mto wa Brahmaputra karibu na hekalu la Kamakhya hugeuka kuwa na rangi nyekundu.na Hekalu hufungwa kwa siku 3, na maji hayo huitwa matakatifu.

Hakuna ushahidi wa kisayansi kwamba damu ya huyo mungu inabadilisha mto kuwa na rangi nyekundu.

Watu wengine wanasema kwamba makuhani huinua hutia rangi nyekundu ndani ndani ya maji.

Hata hivyo, wao huamini hedhi ni ishara ya ubunifu wa mwanamke na uwezo wa kuzaa na kuzaliwa. Kwa hiyo, uungu na hekalu la Kamakhya upo kwa ajili kusherehekea hii nguvu ndani ya kila mwanamke.
 
Attachments

  • Screenshot_20210227-012816.png
    Screenshot_20210227-012816.png
    110.8 KB · Views: 33
MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu

Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa Africa wakiipa sifa Paris kwa kuitaja kwenye baadhi ya mistari yao

Basi ningependa kuuona mnara wa Eiffel mnara wa Paris unaovutia na wenye Historia tamu sana na Adhimu

Lakini kiu kubwa niliyonayo ni kutembelea Jumba la makumbusho la Louvre nikajionee moja kwa moja kazi za mkono za mwanasayansi wangu pendwa wa muda wote ... ikiwemo mchoro wake wa MONALISA,.

View attachment 1712768

Pia nisingesita kukuambia ya kwamba ningependa kuitembekea UGIRIKI binhaki naapa ningejifunza mengi sana hapa...ambavyo nilitamani kuona masalia,miji ya kale,sayansi,Teknolojia na hekaya zake.

iwe kwa masikio yangu na kwa macho yangu.

Ningependa Pia Iraq katika mji wa BABYLON ,na ningependa kwenda sehemu nyingi mno hata kutaja isingetosha hapa, tukiegemea kwenye swala la kujifunza zaidi

kwenda INDIA ilo lingekuwa jambo jingine muhimu zaidi kwanza ,kwasababu ya mila na desturi zao....
Wana dini nyingi sana India zenye mafunzo ya kushtusha sana zaidi ya dini 3000 ziko India na mila tofauti tofauti Kingine ambacho kingenisukuma India ni urembo wa wanawake wao , binafsi navutiwa sana na wale mabinti wa kihindi wanavutia machoni kwa upande wangu kwa kweli.

Nimesoma aina nyingi sana za namna ya kuabudu India na Nchi nyinginezo haswa katika Upagani si kwamba mimi ati ni mjapani La hasha!
Na kuhusu hii kidogo nikapenda kuchangia nanyi

Hakuna anaepinga India itakuwa kinara kwa kuwa na dini nyingi na miungu wengi wa Ajabu watu wanaabudu mpaka manyani kule

Lakini

Kutana na mungu wa kike wa hedhi Kamakhya Devi, huyu anapatikana juu ya Kilima cha Nilachal, Magharibi mwa Guwahati, mji wa Assam huko nchini India moja ya sehemu nyingi nchini India,ambazo watu wanazitembelea kwa wingi sana kila mwaka

View attachment 1712764

Lakini tofauti na miungu wengine wa India Kamakhya Devi , utofauti wake ni kwamba sanamu ya kuabudu ni sehemu za Uke wake tu huyo Kamakhya.

Kingine cha kushangaza ni kwamba chemchemi ya asili eneo la Assam Huwekwa jiwe lenye unyevu na cha kushangaza zaidi juu ya hekalu ni kwamba wanawake wanaovuja damu (hedhi) hawaruhusiwi kuingia hekaluni wanapokuwa katika hedhi.

Kila mwaka hupokea zaidi ya watu laki tano, mungu huyu wa kike wa hedhi au mungu wa damu aitwaye Kamakhaya pia hujianda kuifunga hedhi yake kwa siku tatu kipindi ambacho mahujaji hutambelea sehemu hio ,huifunga hedhi yake hio kwa siku tatu tu za kila mwaka.

View attachment 1712765

Huenda hakuna mahekalu mengi nchini India ambapo hedhi huadhimishwa, lakini hii kwao ina maanisha kukaushwa kama ishara ya nguvu ya mwisho, ikifunua unafiki wa kijamii wa kutazama hedhi kama miiko..

View attachment 1712767
Kamakhya Devi ni maarufu kama mungu wa damu.na Kwa wakati huu ambao mahujaji huja sehemu hii, Mto wa Brahmaputra karibu na hekalu la Kamakhya hugeuka kuwa na rangi nyekundu.na Hekalu hufungwa kwa siku 3, na maji hayo huitwa matakatifu.

Hakuna ushahidi wa kisayansi kwamba damu ya huyo mungu inabadilisha mto kuwa na rangi nyekundu.

Watu wengine wanasema kwamba makuhani huinua hutia rangi nyekundu ndani ndani ya maji.

Hata hivyo, wao huamini hedhi ni ishara ya ubunifu wa mwanamke na uwezo wa kuzaa na kuzaliwa. Kwa hiyo, uungu na hekalu la Kamakhya upo kwa ajili kusherehekea hii nguvu ndani ya kila mwanamke.
Superb mkuu
 
Back
Top Bottom