Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Hakuna cha mungu wa Israel hapa acheni upuuzi vijana wangu.
Huo udini sijui utawafikisha wapi.
Ushuzi mtupu umeandika hapaMungu ambaye anashindwa kuzuia makombora ya Iran yasitue kwenye ardhi ya taifa lake, Ni Mungu mchovu, dhaifu na goigoi sana.
Mungu huyo amelala usingizi wa pono na hana msaada wowote kwa taifa lake.
Kama sio Marekani kuisaidia Israel, Hicho kitaifa uchwara Israel cha Mungu uchwara kingeshafutiliwa mbali kitambo sana.
Ushuzi ni huyo Mungu wenu mdhaifu na mchovu anayeshindwa kulinda taifa lake hadi linapigwa makombora.Ushuzi mtupu umeandika hapa
Watanzania kwa asilimia kubwa ndivyo tulivyo.inasikitisha sana damu za watu zisizo naatia zinamwagika mtoa mada anasema mungu ,tuache udini tuthamini uhai ,sijui kama ndugu zake wangekua huko kama angeleta huu uzi.
Na aliyeifuta ni naniIliyo tajwa kwenye injili ni ipi na wanaishi wapi? Hebu fafanua tukuelewe
Mkuu unajamba mpaka hali ya hewa inazidi kuwa mbaya umekula mayai viza au shimo liko wazi huko?Ushuzi ni huyo Mungu wenu mdhaifu na mchovu anayeshindwa kulinda taifa lake hadi linapigwa makombora.
Huyo Mungu pamoja na wewe ndio ushuziiii.
Shimo la mama yako ndio lipo wazi, Ndio maana alishindwa kuzaa mtoto mwenye utimamu akazaa tahira kama wewe.Mkuu unajamba mpaka hali ya hewa inazidi kuwa mbaya umekula mayai viza au shimo liko wazi huko?
We shoga unajamba mpaka unaharisha sasa ngoja nije kukusokomezee pampasi ili usiharibu hali ya hewa zaidiShimo la mama yako ndio lipo wazi, Ndio maana alishindwa kuzaa mtoto mwenye utimamu akazaa tahira kama wewe.
Mnaaibisha ukristo.Mungu gani anaua watu wasio na hatia!.Yaani anachofanya israel katumwa na Mungu?.Wakristo kama vile akili zetu ni pungufu.Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.
Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.
Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.
Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.
Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.
Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.
Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.
Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.
Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.
Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.
ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
FafanuaShida hii mada imetawala Udini
Shoga ni baba yako aliyefukunyuliwa mtaro hadi akazaa toto lenye utindio wa ubongo kama wewe.We shoga unajamba mpaka unaharisha sasa ngoja nije kukusokomezee pampasi ili usiharibu hali ya hewa zaidi
Una utoto mwingi sana. Vita ni vita tuYes hata Israel sera yake ni 1 state solution yaani kuimeza Palestine kuwa ndani ya Israel. So wote wana sera ya one state solution.
Of course Israel ina support magaidi wa Sudan yaani RSF, Kurds kule Syria na Turkey, na hata vilimsaidia HTS kupindua serikali ya Assad huku wakijua ni Tawi la Al Qaeda. Kwahiyo tuache unafiki, vinaitwa vikundi vya ugaidi pale tu vikifadhiliwa na Iran ila vinaitwa vyama vya ukombozi vikifadhiliwa na Israel!!!
Oooh Israel akiwa na nuclear huoni ni tishio kwa nchi za kiarabu maana zikimvamia si analipua nchi zote hizo za middle east zinayeyuka!! Ila wakitengeneza Iran ndio wanageuka tishio? Hivi nani anayeamua nani ana haki ya kuwa na nuclear na nani hana? Mbona Pakistan ilikua ikimtunza Osama miaka yote na kuna Taliban kule ila kwa kuwa ni marafiki wa USA na Israel basi wana haki ya kuwa na nuclear, ila siku wakikosana wanageuka magaidi!!
Oooh kamtoa Assad alafu kaiweka tawi la Al Qaeda!!!? Ndio mafanikio gani hayo? Then huwezi jisifia kupambana na vikundi vya kigaidi ambavyo hata ndege havina. Ni nchi gani kabisa lenye jeshi wamepigana kama hivi Russia na Ukraine alafu Israel amempiga in recent years?
Hao houthi, Hezbollah, Hamas n.k wote hao amepigana nao kwa ushirikiano wa USA na UK and France hakuna vita hapo kapigana mwenyewe. Hata rocket za Iran zinakua intercepted na nchi zaidi ya 5!! Ila sio Iran vs Israel moja kwa moja, hivi unadhani Russia au China akiingia upande wa Iran itakuaje?
Sio Mungu wa israeli ni Mungu yrump ndio inaiwezesha israeli huo uwezo wa kupiga irani,kuwapiga wapalestinaIran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.
Pia akaanzisha program ya kutengeneza silaha za nyukliax huku akijificha katika matumizi ya nishati, akikataa kukaguliwa na shirika la nyuklia la kimataifa pia akirutubisha uranium juu ya kiwango cha matumizi ya kiraia hadi sasa amerutubisha hadi asilimia 60 ambapo kwa matumizi ya kiraia kiwango hicho hakina kazi.
Pia ametengeneza makombora ya umbali mrefu kwa maelfu kama sehemu ya maandalizi ya kuiangamiza Israel.
Mungu wa Israel ni mkuu na hashindwi. Israel chini ya uongozi shupavu wa Netanyahu amevifyeka vikundi vya magaidi vya hamas, hizbollah, Syria na kusaidia kuangusha serikali ya Asad ya syria.
Sasa Israel anaponda kichwa cha gaidi mkuu mwenyewe Iran; amepiga plant za nyuklia, viwanda vya kuzalisha makombora, amewaua wanasayansi wa nyuklia 14, makamanda wakuu wa jeshi, IRGC.,Quds na military intelligence jumla kama ishirini hivi, amepiga vifyatulio vya makombora, maghala ya makombora, rada za kutungulia ndege , na sasa anatawala anga ya Iran ikiwemo Tehran anaingia anapiga na kutoka anavyotaka.
Hadi sasa upande wa Israel haujapoteza hata askari mmoja ni raia 24 tu waliopoteza maisha ndani ya Israel.
Iran amezuia vyombo vya habari vya nje kuripoti kutoka ndani ya Iran.
Iran sasa kupitia nchi za ghuba za Oman, Qatar na Saudi Arabia anaziomba zimuombee kwa Trump ili Israel isitishe vita wazungumze, yaani nchi aliyotaka kuifuta katika ramani ya dunia leo anaitaka wazungumze.
Israel lazima watamuua Ayatolla Khamanei iki awafuate magaidi wenzake waliokwisha kuuawa na Israel aliokuwa anawachochea.
Israel ni nchi ndogo sana kulinganisha na Iran lakini ameweza kusafiri kilometa zaidi ya elfu mbili kwenda na kurudi na kumpiga Iran huko kwake anavyotaka. Hii kazi Israel ataikamilisha ndani ya wiki mbili hivi.
Mungu wa Israel amejidhirisha ukuu wake.
ATUKUZWE MILELE MUNGU WA ISRAEL.
Kwa nn Iran haisaidiwi?Sio kwei, mpaka Jordan na Saudi zimeingia vitani na Iran. Hao US wametoa silaha kibao kama bunker busters!! Kwani kuna aibu gani kukiri Israel anasaidiwa
Hivi unadhani China na Russia hawajaingia indirect Iran kwamba zile drone za Iran kule Russia hazina return yoyote kwa Iran?hivi unadhani Russia au China akiingia upande wa Iran itakuaje?
Hata Putin anasaidiwa na Iran.Sio kwei, mpaka Jordan na Saudi zimeingia vitani na Iran. Hao US wametoa silaha kibao kama bunker busters!! Kwani kuna aibu gani kukiri Israel anasaidiwa
Porojo nyingi hakuna cha maana.Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia mafunzo ya kijeshi, silaha na fedha.