Mungu wa Kabili: Ali Kiba kuzimiwa microphone Mombasa ni ushirikina

Mungu wa Kabili: Ali Kiba kuzimiwa microphone Mombasa ni ushirikina

Baadhi ya Watanzania ndivyo walivyo! Kutafuta mchawi hata ambapo hapahusu kitu.
 
Mtabaki na imani potofu mpaka kufa kwenu na msijue rangi ya dunia ,,,,,kiba ni mpuuzi asie jielewa ,,,,anawezaje kusema yeye ni msanii mkubwa kushinda wizkid ?? Kama sio uchizi ni nini?
 
MK254 naona mnahusudu sana waganga wa ndumba, hadi mnawakaribisha maredioni? Basi kumbe kuna wateja wengi sana kwenyu
 
Uchawi ni kweli upo ila ukiendekeza hayo mawazo kwenye kila mtihani unaokutokea maishani basi unaishia kuwa mchawi pia. Mungu aliye hai ndo jibu la kila kitu
 
Mie nahisi kuna zaidi ya haya aliposema King Kiba baina yake Na Mondi.
Ila hayo yote yanasababishwa Na watu waliokaribu Na Mondi sana. Mana wanaona kiki ya Mondi kwao pia ni kiki.

Wasiwasi wangu zaidi upo kwa huyo salama sana. Inavyosemekana ndio anjiona ndio kila kitu kwa Mondi. So kuna vitu anafanya ambavyo anajua kwa njia moja au ingine inawaweka juu wao, Ila ni stly ya kama kupanda juu ya mgongo wa MTU.
Swali la msingi kutoka kwa Kiba Salama alienda backstage kufanya nn? Kwani hao wasanii wengine hawajui kutafuta connection kama wengine.
 
Ile historia ya NILIMLISHA MUME WA MTU LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI ilikuwa kama imekaa kusifia huyo Mungu wa kabili na kazi zake na mwisho huyo dada akatoa namba za simu eti watu wasikubali kudanganywa na Mungu wa kabili na contacts zake.
 
Back
Top Bottom