Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

Amina, nimepokea, Bora Mara 1.000.000.000 haya maneno yako kuliko Ibada za mafuta za Manabii na Mitume matapeli wa Tanzania!

Mtumishi yeyote anaye bold utume na unabii Kama Sifa na office ni Mwizi, tapeli na Mwongo! Mungu ashughulike nao.
 
Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana.
Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea.
Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
Shalom shalom ☺️ 🙏

Amina amina real Mama
 
Back
Top Bottom