Mungu wa mbinguni uwalaani wote waliouza gesi ya Mtwara kitapeli

Mungu wa mbinguni uwalaani wote waliouza gesi ya Mtwara kitapeli

Nakuomba Mungu awalaani Hawa wahuni waliouza ges yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo Cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu.

Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi,wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati.Ubabe wa Russia upo ndani ya ges .

Leo Tanzania tuna mgoa wa umeme kwa upumbavu wa watu wachache ,inauma Sana ,sasa kama nchi tutapataje maendeleo kwa hali hii.

Lakini napata faraja utawala ujao Hawa watu wataozea magereani kwa uhujumu walioufanya .

Mlaaniwe naludia Tena na VIZAZI vyenu na Kila mlichokivuna kwa wizi huo kisambalatike na familia zenu zizidi kupata Kila aina ya majanga na ikiwezekana mfe wote Mana nyinyi ni zaidi ya mashetani.

Hii ni laana na itawatesa washenzi wote waliolihalibu Taifa hasa hili swala la gesi yetu ya MTWARA,AMINA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sii haki kuacha kumtaja mchawi mkuu katika madhila haya yote: CCM
 
Kwani Mungu yupo basi, halafu unawasema kwa Mungu yupi Kama ni yule waliotuletea wao jua hakuna unachokifanya, nenda na ukatoe sadaka uzidi kuwanenepesha mifuko yao! Na bado.
Dogo wa forex unamkufuru Mungu? Ndo maana kina Ontario wanawapiga Sana na hamsikii. Endeleeni tu kumkana Mungu.
 
Bro, hakuna mtu mweusi mkombozi ulimwenguni kote, Mwafrika ni mtu aliyekosa maono yajayo, Mwafrica kila kitu ni upigaji.
 
Shell was first in the 2013 Fortune Global 500 list of the world's largest companies;[8] in that year its revenues were equivalent to 84% of the Dutch national $556 billion GDP.[9] Since then, Shell has dropped to the 5th largest company on the Global 500, but is still the largest non-state-owned energy corporation in the world and the second-largest non-Chinese corporation in the world

Kampuni moja tu inaingizia 84% ya mapato ya nchi, sisi tuna rasilimali karibu zote lakini bado watoto wanakula majalalani.
 
Nakuomba Mungu awalaani hawa wahuni waliouza gesi yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu.

Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi, wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na Ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati. Ubabe wa Russia upo ndani ya gesi.

Leo Tanzania tuna mgao wa umeme kwa upumbavu wa watu wachache, inauma sana, sasa kama nchi tutapataje maendeleo kwa hali hii.

Lakini napata faraja utawala ujao Hawa watu wataozea magereani kwa uhujumu walioufanya.

Mlaaniwe narudia tena na vizazi vyenu na kila mlichokivuna kwa wizi huo kisambalatike na familia zenu zizidi kupata kila aina ya majanga na ikiwezekana mfe wote maana nyinyi ni zaidi ya mashetani.

Hii ni laana na itawatesa washenzi wote waliolihalibu Taifa hasa hili swala la gesi yetu ya MTWARA, AMINA.
Mbaya zaidi wameuza na aliyepinga uuzwaji kwa nguvu zote wakaona isiwe tabu wakam.....noma sana
 
Uliona akina Bush, Clinton na Obama na rais wa China wanapishana bongo utafikiri Texas enzi za JK,ndo kazi alikuwa anaifanya,kuuza urithi wa vizazi.

Ogopa Sana kiongozi anayeshobokea wazungu anaweza uza hata mkewe.
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom