Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe.
Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania.
Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee wetu na watoto wetu. Mungu inua vijana wenye akili na uwezo wa ajabu kulikomboa taifa hili. Yesu inua vijana jasiri wenye nguvu kubadilisha taifa hili sio watoto wao wala vizazi vyao ila vijana wakitanzania. Amen.