Mungu wakumbuke watanzania, likumbuke taifa lako teule Tanganyika

MHUBIRI 3

1 Kila kitu kina majira yake,
kila jambo duniani lina wakati wake:

2 Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa;

3 Wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga;

4 Wakati wa kulia na wakati wa kucheka; wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza;

5 Wakati wa kutupa mawe na wakati wa kuyakusanya mawe pamoja; wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia;

6 Wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza; wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa;

7 Wakati wa kurarua na wakati wa kushona; wakati wa kukaa kimya na wakati wa kuongea;

8 Wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia; wakati wa vita na wakati wa amani.

9 Mfanyakazi hufaidi nini kutokana na juhudi zake hizo?

10 Mimi nimeiona kazi ambayo binadamu amepewa na Mungu.

11Mungu amekifanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Amempa binadamu hamu ya kujua mambo ya baadaye, lakini hajamjalia fursa ya kuelewa matendo yake Mungu tangu mwanzo mpaka mwisho.
 
Two wrongs can't make it right, usituzubaishe kwa ujinga wako.
Hapana mkuu, jamaa kamchana ukweli. Mh. Lissu alilopigwa risasi mchana kweupe ukisikia akitoa hata pole tu?
 
Mkuu, kuna BAYA gani limepangwa zidi ya hili pande letu? Wakina nani wanapanga hivyo? Ujenzi wa Ikulu ya JMT unahusika? Kisiwa kukalia Bara? Wazee wa majambia kupewa nchi?

Funguka mkuu, mlituhabarisha mauaji ya mkuu kabla na ikawa hivyo, kulikoni leo kesi ipelekwe kwa Mungu?
 
Mambo yetu huwa tunamuachia Mungu tu ndio maana tunachelewa kufika, kama nchi zote palipotokea mabadiliko wangemuachia Mungu naamini mpaka leo nao wangekuwa bado wanaburuzwa na watawala.
Yana mwisho ,na Mungu wa Watanzania ni msikivu sana ,tuwe na subra.
 
Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe.

Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania.

Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee wetu na watoto wetu. Mungu inua vijana wenye akili na uwezo wa ajabu kulikomboa taifa hili. Yesu inua vijana jasiri wenye nguvu kubadilisha taifa hili sio watoto wao wala vizazi vyao ila vijana wakitanzania. Amen.
Moto wa kichawi uliotumika kuwafunga wananchi Kwa maelfu ktk Ule mlima mrefu kuliko yote Afrika umezimwa.

miungu ya Tanzania inakatiliwa mbali, wafungwa wanatembea Kwa maelfu Kutoka mlima Ule Hadi pande za mwisho wa Nchi Kwa furaha kuu.

Hakuonekana tena mtoto wa mtawala kukalia tena kile kiti kikuu kinachogombaniwa.

Pesa na Mali walizozificha hatimaye wanagundua hazina thamani kutosha kubalishana na nafsi zao😠😠😠😠.

Mungu analipenda sana Taifa letu, na analiandaa kuwa Taifa pekee, kimbilio la nyakati hizi za mwisho.

Aaamen.
 
Duh. !!
 
Mkuu

Juzi vijana wa kule meatu walinifikia hapa kwangu kuna la kazi walikuwa wanafanya!

Wakanambia lile jabali lilifika kule mwanuzi kule simiyu,likafanya mkutano wake halafu siku ya pili yake ule Moto unaokimbizwa ukafika kama ilivyo KAWAIDA!!

Je!!?jabali alitangulia kusafisha njia ya moto kupita au alienda kuuzima KWA kutangulia mbele kwanza kabla moto ule haujaingia!!?
 
Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe.

Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania.

Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee wetu na watoto wetu. Mungu inua vijana wenye akili na uwezo wa ajabu kulikomboa taifa hili. Yesu inua vijana jasiri wenye nguvu kubadilisha taifa hili sio watoto wao wala vizazi vyao ila vijana wakitanzania. Amen.
Hizi ni dalili za watanania kukata tamaa, yaani hata katiba ya taifa letu kubadilishwa mnataka damu ya Yesu iingilie kati wakati hilo limo ndani ya uwezo wenu, jamani tuombeni mambo ya msingi kama maradhi yatokomee, mvua nk
 
Mkuu

Juzi vijana wa kule meatu walinifikia hapa kwangu kuna la kazi walikuwa wanafanya!

Wakanambia lile jabali lilifika kule mwanuzi kule simiyu,likafanya mkutano wake halafu siku ya pili yake ule Moto unaokimbizwa ukafika kama ilivyo KAWAIDA!!

Je!!?jabali alitangulia kusafisha njia ya moto kupita au alienda kuuzima KWA kutangulia mbele kwanza kabla moto ule haujaingia!!?
Hahaaaa!!

Maji yakikauka kwenye SOURCE, MTO utatiririka kama Kawa na ziwani utayaona maji mengi, bt baadae Kila kitu kitabadilika.

Nyoka anapokatwa KICHWA mkia utaendelea kutikisika 4 some time.

Note: Ukishinda vita ktk SPIRITUAL REALM, Ulimwengu wa mwili hauezi Pinga, ni suala la muda tu.

Hasira za wazee baada ya kuchomoza Jabali zikupe alarm ya yajayo.

Ameeeen
 
Swali ni je,

Nani wa kuvunja LAANA waliyoachilia wazee Kwa yeyote atayejatibu KUIRUDISHA Nyikani ilozikwa hai?
 
Back
Top Bottom