Mungu wangu sio kiziwi bado naamini atasikia sala zangu na juhudi zangu hata nikiwa nimeondoka hapa duniani

BEST 001

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2021
Posts
242
Reaction score
475
Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu.

Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu zangu mimi naamini hilo sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Haya maisha yana ups & downs nyingi tuliza komwe mambo yatanyooka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…