Mungu Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini huji kutuokoa katika ziwa hili la serikali dhalimu ya wanamtandao?

Mungu Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini huji kutuokoa katika ziwa hili la serikali dhalimu ya wanamtandao?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Ewe Mungu Muumba wa mbingu na nchi jidhihirishe sasa! Wewe tuu ndio mwenye uwezo wa kupanga nani aishi na nani asiishi na sio wanamtandao au mafwele!

Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini huji kutuokoa katika ziwa hili la serikali dhalimu ya wanamtandao???

Ndugu polepole kwa sasa hatujui ni mzima au amekufa japo kuna watu wanasema tayari alishafariki tokea jana.
 
Mnaweza?



 
Back
Top Bottom