Mungu Yuko wapi?

Nachotaka mimi tujadili msingi wa msimamo wako wenye kufanya usiamini Mungu wala miungu, ambao umetaja kuwa ni suala la milango ya fahamu.
 
Mababu zako wa kale waliishi hivyo mpka ww ukaziliwa Leo.
 
Nachotaka mimi tujadili msingi wa msimamo wako wenye kufanya usiamini Mungu wala miungu, ambao umetaja kuwa ni suala la milango ya fahamu.
Wewe unamadai yakwamba kuna Mungu wakati hata kuthibitisha huwezi!!

Wewe umejuaje kwa hakika kama kuna Mungu.

Unajuaje kama kitu kipo pasipo milango yako ya fahamu
 
Mimi niliachaga dini mazima mwaka 2012 hivi kuja huku, siabudu chochote zaidi yangu, kama Mungu yupo basi ninaishi naye mimi humu ndani yangu kusikoonekana, na hivyo mimi kuwa Mungu kama sehemu ya mawazo yake.
Dini ni ushenzi kabisa unazidi kufunga watu na kuwa wajinga.
 
Asante Sana kwa kuelewa na waafrika ndo tunazidi kupumbazwa na kutapeliwa na Hawa wachungaji waongo
 
Illusion

Ubongo sio wa kuaminika mara zote, unaweza kukupa fake informations ambazo zinapingana na reality
Ni Kweli ankoli, ubongo Sio wa kuamini muda wote , kwani unaweza kukupatia majibu Ambayo Sio sahihi ,
Na ndio maana unatakiwa ku reason kila kitu unachoona , kinachotokea, etc,, ili kuweza kujihakikishia usahihi wa taarifa .

Ubongo ni kama chart GBT Tu, ubongo hauwezi kukupa majibu ya kitu ambacho haijawai Ku ki experience, the more informations it received the more it accurate to solve problems,

Like in probability there MORE choices you have , the more accurate your going to predict,

Na AI Kadri inavyozidi kupewa data, ndivyo inavyozidi kuwa More accurate kwenye kufanya decision making, kiasi ya kwamba itamshinda hata binadamu kwenye kufikiri, na hii IPO kwenye games za draft,
Ma games yamekuwa yakimshinda binadamu hata Kwa wale world champions hawatoboi.

AI now days wana learning thier decision, kwenye AI kuna kitu kinaitwa (machine learning),

Mfano ulimfunga game kwa staili au techniques Fulani, basi game inayofuata AI inajirekebisha makosa aliyoyafanya Kwa ku learning mchezo uliopita na Ku save(memory )Ile techniques ulio itumia kumfunga , alafu Pia ina chambua hiyo techniques na kuja na suluhisho lake ,

Ukija kucheza nae game ya pili ukitumia techniques uliomfunga mwazoni , Una shangaa anaipangua mapema Tu 🤣,

Na ndio maana nchi zinazo jielewa kama USA week hii kulikuwa na mdahalo kuhusu swala la AI ,

Wanazuia AI asifanye maamuzi yenyewe kwani itakuwa ni hatari Kwa usalama .

Turudi kwenye ubongo, ubongo unajifunza kupitia mazingira (experience) zaidi ya hapo hakuna anachojua
 
Wewe unamadai yakwamba kuna Mungu wakati hata kuthibitisha huwezi!!

Wewe umejuaje kwa hakika kama kuna Mungu.

Unajuaje kama kitu kipo pasipo milango yako ya fahamu
Ili mimi kusema kwa uhakika kuwa wewe umezaliwa na mwanamke nahitaji mlango gani wa fahamu?
 
Unakuta mtoto kazaliwa akiwa na sickle cell, ugonjwa wa moyo, cancer ya damu ama mlemavu wa viungo, wazazi wanapambana kumuuguza kwa kuhangaika huku na kule lakin wapi, Mwisho wanakata tamaa dogo anafikisha umri flani let say miaka 6 anafariki.
Inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…