Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

Kaongea upumbavu wa mwisho

Mbona rais anavaa suruali…. Huo ndio uislamu?

Tusifike huku please

Wengine Kwa ujambazi walioufanya walitakiwa wawe jela
Kama nani jambazi?
 
Munish nawe sasa umezidi... unataka kumpangia mtu mpaka mavazi ya kuvaa!?

Halafu hebu tuambie ni ipi tofauti ya mama wa Kiswahili muislamu na mama wa Kiswahili asiye wa kiislamu na mama wa Kiswahili wa uswahilini

Zaidi ya hapo... tuambie pia kifungu alichokosea mama katika mavazi yake mpaka iwe ameshusha hadhi ya uraisi
 
Hayupo humu mfate fb ndio anatema nyongo zake huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…