Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongea upumbavu wa mwisho
Munishi mwenyeweKama nani jambazi?
Subhanallah....🤭Mwache rais wetu wewe tutakupiga albadra
Anataka avae kama Condoleezza Rice[emoji23][emoji23]Kwy anataka raisi avae vimini au huyo jamaa kakosa hoja kila mtu na maadili yake na maamuzi yake mbona magu alikuwa anavaa kanzu?? Huyo mshkaji kakosa cha kuongea bora akae kimya tu
Hayupo humu mfate fb ndio anatema nyongo zake hukoMunish nawe sasa umezidi... unataka kumpangia mtu mpaka mavazi ya kuvaa!?
Halafu hebu tuambie ni ipi tofauti ya mama wa Kiswahili muislamu na mama wa Kiswahili asiye wa muislamu na mama wa Kiswahili wa uswahilini
Zaidi ya hapo... tuambie pia kifungu alichokosea mama katika mavazi yake mpaka iwe ameshusha hadhi ya uraisi
Kwani Mama mpika vitumbua siyo Mama!!! Kupika vitumbua ni dhambi, ni kosa, au ni laana?
Aliowaua wamwrudi?Alitubu sasa anamtumikia Mungu
Kama wale aliowauaAnataka rais akae kichw wazi, hapo ndo roho yake itaridhika