Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%


Yani huyu jamaa Emanueli misalaba anaongea bila ushahidi wowote, kisa nini! Mtu mweupe au! Waafrika wangapi mafisadi lakini je! Alishawahi kufikiria hilo la kuuwa! Kuwa makini sana emanueli, kama kigezo ni RACE yake basi acha ubaguzi acha chuki
 
Mnatutia hasira sana nyie kutetea mafisadi

Mimi sijatetea mafisadi, tena fisadi hafai kuongoza n.k. Lakini siwezi kumdhania kama yeye kweli ni fisadi wakati sina ushahidi wowote juu ya hilo, so nisipate dhambi mzee baba
 
 

Attachments

  • 274A6B3B-9E62-4AD3-854C-575C00E09401.jpeg
    81.5 KB · Views: 10
Walivyoanza kuongea nilifikiri ni tamko la kawaida la kibiashara.Lakini walipomaliza tamko la kuanzisha mradi wa umeme Zambia ndipo Kubenea akamuuliza Rostam swali ambalo baadaye nikabaini kuwa lilikuwa limepangwa.
Lilikuwa limepangwa kwa sababu Rostam alikuwa anajibu kwa kusoma kwenye karatasi aliyokuwa nayo mkononi.
Nilicheka sana kwa futuhi hiyo.
 
Matola na wewe usiwe mjinga mambo ya demu wa Slaa na mambo ya bandari yetu wapi na wapi wewe, hapa tujadili mambo ya bandari na matajiri matapeli wanavyotuiingiza mkenge wewe unakuja na porojo za mdemu wa Slaa, si ajabu watu wa nje wanatuona akina Mangungo.
 
 
Someni hapa
 

Attachments

  • 1ACED278-C750-4278-8DB4-1E5E9ED0756A.jpeg
    58.4 KB · Views: 19
  • 15F6BD5F-BEC9-4543-896E-040F6A930CFC.jpeg
    62 KB · Views: 17
  • 0648334F-6094-4FC8-B08D-3D7D00F7CD49.jpeg
    55.5 KB · Views: 17
  • 840209BF-13FD-4867-899D-D6D60CBE27B3.jpeg
    71.8 KB · Views: 18
Mangungo alikuwa genius, wengi hamuwezi kulijuwa hilo.
 
.
 
Huwa anatoa CSR kubwa.
 
Umeandika andika tu mkuu kazi mbovu haileweki
 
All is done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…