A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
Mama nae ni wa kimedani!!
Hakutaka kutoa wino kwenye deals fulani MAANA anajua kuna kishughulikiwa baadae, muajemi anaanguka sahihi tu kama mlevi!!
Anafikiri hayo ni matobolwa ngoja aone sasa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama nae ni wa kimedani!!
Tusihamishwe kwenye mjadala nyeti wa Bandari.kwanini chadema hawa hoji hiyo ya kusain
Esp. Our Tanganyika buddyMkuu maneno makali na mazito sana haya. Nahisi umeyaandika ukiwa na hisia nzito sana juu hili swala linaloendelea. We love our country Tanzania
Hii ya kuendesha hadi mwezi wa 10. Imeandikwa wapi? Mwezi wa 10 mwaka gani?. Asante sanaHilo la bandari zote kuziendeleza tukipenda kwa kuwa hatuna mkataba nao wowote wa kuendesha bandari yoyote mpaka sasa.IGA inakwisha mwezi wa 10 na mpaka sasa hakuna mkataba wa uendeshaji bandari uliosainiwa
Kigumu ni nini hapo kuelewa?
Ndio ujue ilikuwa ni trick ili i trend na wanajua watu watasoma. Na waandishi huandika pasipo kuchuja. Wanaondolewa kwenye hoja ya msingi wanajadili kuhamia ccm.nimeona magazeti ya leo yameweka suala la RA kumsuta Slaa front page wanataka kubadili upepo na wala hatuhami bado uko na DP world😎
Acha kuchanganya mambo, unasema Slaa alikua project ya state kwenda upinzani kwaajili ya kumshughulikia Jk awamu ya 4. Slaa amehamia upinzani mwaka 1995 baada ya kuwa ameshinda kura za maoni za ubunge kupitia ccm pale Karatu lakini ccm makao makuu wakakata jina lake ndio Slaa akahamia upinzani na akagombea ubunge hiyo 1995 akashinda. Sasa 1995 awamu iliyokuwa inaingia madarakani ni ya nne au ya tatu?Huyu mzee ALIKUA project ya State/kanisa kwenda upinzani kumshughulikia jk awamu ya nne!
Hakwenda kushinda urais bali check and balance KWA wanamtandao BAADA ya kushika nchi!
BILA yeye kwenda kule halo ungekua mbaya KULIKO hata jpm alivoikuta!!
BAADA ya jpm ku be nominated ndio project ikawa imeisha akarudi!!
SASA wanamtandao wameshika tena, project on!ndio MAANA kaanza kubweka like anachopewa abweke na office kubwa!!
Hakua msaliti Bali project ilikamilika!SASA amerudi tena KWA project ingine!!
Sawa mamaPu
Punguza shobo mkuu
Rostam: " Dr Slaa ni mtu wa kuogopwa kama UKOMA"Unapoishi kwenye nyumba ya vioo usiwe wa kwanza kuanzisha ugomvi wa mawe! Kwahiyo Serikali yenu ndiyo iliyomuhonga Dr Slaa?
Nilikuwa sijui aisee ni wapi Lostam alikuwa akiwinda Wanyama wa pori kunyume na sheria?na jangili
SimjuiNilikuwa sijui aisee ni wapi Lostam alikuwa akiwinda Wanyama wa pori kunyume na sheria?
Kwahiyo unamtuhumu mtu wakati humjui?Simjui
Telhaviv. [emoji777]Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.
Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.
Rostam ni king maker, bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya ambapo sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.
Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.
Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.
Lakini likaibuka DP World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?
Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.
Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.
Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.
Ahsanteni!
Sijawahi mtuhumu mtu anaitwa Lostam na wala jina kama hili sijawahi kulisoma, kuliona wala kulisikia mahali toka nimezaliwa.Kwahiyo unamtuhumu mtu wakati humjui?
Muogope Mungu katika kila unalofanya. Unataka kumuua na kuutoa uhai wa mwanadamu mwenzako kisa nini? Je? Una ushahidi wa yanayosemwa? Mtu hauliwi pasi na haki. Na wewe utawindwa tu.2015 alikuwa ni team Lowasa nikashangaa baadaye Magufuli anampokea huyo jamaa moyoni sikuwa na amani nikasema huyu anakaribisha chatu,
Hivi hili jamaa wameshindwa kuliua?
Pamoja na uwekezaji alionao lkn ni jitu hatari sana, ningekuwa kwenye system hili ni la kuulia bali.
Mimi kwa upande wangu CIA nawapenda sana na ninadhani kila mtu anawapenda kwa sababu wapo wametapakaa dunia nzima kuhakikiksha kuwa dunia iko salama. Hayupo mtu hapa duniani au organisation isiyokuwa na hitaji la kuhakikisha kuwa maslahi yake yanatimia and Rostam is no ecxception, bila kujali kuwa ni CIA au siyoTangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.
Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.
Rostam ni king maker, bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya ambapo sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.
Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.
Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.
Lakini likaibuka DP World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?
Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.
Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.
Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.
Ahsanteni!
Mfanyabiashara nguli kutoka tanzaniaRost tam ajibu HOJA za DP world, why bandari zote tena bila UKOMO!!!
Na atwambie kule merekani kwenye Royal tour, alisaini mikataba kama nani while Sa100 akiwa pembeni?
Watu wanataka ufanisi wa kazi bandarini,miaka nenda rudi wamekuwa wakicheza makidamakida tu hapoSisi tuko na DP-WORLD tu.hao wakacheze wanako chezaga la mama yao