Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Acha kutudanganya hesabu Kali gani,hata wewe ungepewa uweka hazina wa CCM kwa 10 yrs kipindi cha Jakaya lazima ungetoboa tu.fedha zinahamishwa kutoka Serikalini kupeleka chamani.
duh kwaiyo unataka kunambia rostam kaanza kipindi cha jk are you sure?

unajua ana deals gani S. africa,zimbabwe,kenya,malawi,china,us.a nk?

issue ya ccm ni theluthi tu mkuu usilolijua huyo jamaa ndiyo coordinator mkubwa wa africa kibiashara na hata kijasusi na mengineyo mengi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna makubaliani yasiyoeleweka, tatizo lako umejazwa ujinga wa kwanza basi hata mkataba huuoni. Jifunze "to unlearn". Futa kabisa kilicho kichwani mwako sasa hivi halafu usome ule mkataba. Utauona umetupemdelea sana Tanzania.

Usisikie ujinga wa wanasiasa wapumbavu, wao wana akili za kifungi maiko, akifanya tatizo ndiyo atengeneza pesa. Hawa watu wanaelewa, wameshalizwa sana Kenya na wanasisa na matapeli Mpaka hawana hamu napo kabisa. Hili dili la Port ya Dar lilikuwa kwanza liwe la Kenya, walipochapwa ndiyo wakaachana nao kabisa. NGoja nikuwekee ushahidi chini hapo.
Napenda unavyo defend. Hususan sie ambao hutaki wanasiasa watupigishe filimbi wengine wanaharakati uchwara na wasaka fursa lkn hili bado sio. Wewe unasema hakuna mkataba usioeleweka " hiyo ndio usahihi wenyewe" wee unaona . IGA inaposema bandari zote inamaanisha Dar port tu au na Kigoma?
Au ukomo ukoje?
Binafsi natamani Serkali iachie sehemu kama Bandari private sector ziopareti yenyewe ipate gawio na ushuru na stahiki zingine, lkn kwa kiwango gani?
Halafu FaizaFoxy hili la kusema wanataka tufaidike sisi liondoe kwenye hansadi hayupo mtu wa aina hiyo katika sayari na zingine labda Mungu tu ndio hutoa bure.
There is no Free lunch. Never ever.

Mwisho serkali itoke itete hoja hii hadharani waache ile janja ya kusema kesho mtu akiwa na hoja aje dodoma na mwisho saa fulani kwa swala la kitaifa, kwani tunawahi wapi? Ili watu wasichukuliwe na uhuni mwingine tatizo liko wapi? Kama tumeweza kupeleka wabunge 30 tunashindwa vipi kuteua siku kuongea hilo kwa uwazi na watu wakauliza maswali na taasisi zetu za sheria kama TLS zikiwakilisha.
Wasitumie watu kama RA ambao tayari wanasikendo za EPA na kampuni ya Kagoda. Watu wengine hata wanahabari wasiende au wakienda wawaukize zile skendo za zamani walizi clear vipi.
Kongole FaizaFoxy
 
Wewe ni raia wa Tanzania au Dubai? Nasema hivyo kwasababu, kimsingi umeandika hivi…

Hapana, labda mjiue wenyewe kwa ujinga wenu. Lakini sisi jamaa tunachohitaji ni makampuni makubwa duniani yenye hisa zetu yasikose fursa za Africa.

Tanzania mnaongelea sasa hivi kujenga ma highway ya toll.

Tanzania inaongelea sasa hivi kujenga mahospitali makubwa kuwe na utalii wa afya.

Dubai hapa tulipo kama hatutafuti njia mbadala za kuzalisha utajiri wetu tutaanguka..

Lengo letu kuu kujijenga Congo na gateway yetu iwe Tanzania kwa huku mashariki, kwa kule maghribi tayari AD Ports imeshakamata. DP World na AD Ports ni ndugu wa damu, sisi (DPW) Dubai wale Abu dhabi. Umeona eeh?

Hakuna sehemu nyingine yoyote duniani iliyobaki na mali asili nyingi duniani isipokuwa Congo.

Tunataka kuwahi japo tuwepo kidogo, sisi kidogo tu tukishika asilimia fulani ya biashara ya Congo inatutosha kabisa, hatuna makuu. Kinchi chetu kidogo.. tunaogopa kukikuza sana zaidi ya hapa kitamezwa na wahindi.

Umeandika hivyo 👆🏿👆🏿, kama ni mtanzania basi tupo katika hali mbaya zaidi ya maelezo.
Huo ndiyo ukweli, naawashangaa mna muono mfupi sana.

Hapo kwa DP World tukiharibu ni sisi wenyewe tu.
 
Hapana, wewe sio mtu wa haki...bali umejificha ndani ya dini ya haki.

Nimegundua wewe ni mwanamke FISADI sana hasa vitendo vyako vya kutetea mafisadi yaliyojificha ndani ya dini ya haki.

Huwezi kuntetea Mkristo mtenda haki bali fisadi la Kiislam uko tayari kufa nalo.
Jitahidi uitendee haki dini yako kama ilivyo ya haki.
Sikuchukii hata kidogo bali nachukia UNAFIKI wako
Mkuu maneno makali na mazito sana haya. Nahisi umeyaandika ukiwa na hisia nzito sana juu hili swala linaloendelea. We love our country Tanzania
 
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.

Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.

Rostam ni king maker, bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya ambapo sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.

Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.

Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.

Lakini likaibuka DP World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?

Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.

Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.

Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.

Ahsanteni!
Unejaribu kudadavua. Lakini acha uoga. Waarabu lazima tuwape fursa ili watuboreshee performance ya bandari iliyotushinda kwa miaka na mikaka. Umenielewa kojana?
 
Napenda unavyo defend. Hususan sie ambao hutaki wanasiasa watupigishe filimbi wengine wanaharakati uchwara na wasaka fursa lkn hili bado sio. Wewe unasema hakuna mkataba usioeleweka " hiyo ndio usahihi wenyewe" wee unaona . IGA inaposema bandari zote inamaanisha Dar port tu au na Kigoma?
Au ukomo ukoje?
Binafsi natamani Serkali iachie sehemu kama Bandari private sector ziopareti yenyewe ipate gawio na ushuru na stahiki zingine, lkn kwa kiwango gani?
Halafu FaizaFoxy hili la kusema wanataka tufaidike sisi liondoe kwenye hansadi hayupo mtu wa aina hiyo katika sayari na zingine labda Mungu tu ndio hutoa bure.
There is no Free lunch. Never ever.

Mwisho serkali itoke itete hoja hii hadharani waache ile janja ya kusema kesho mtu akiwa na hoja aje dodoma na mwisho saa fulani kwa swala la kitaifa, kwani tunawahi wapi? Ili watu wasichukuliwe na uhuni mwingine tatizo liko wapi? Kama tumeweza kupeleka wabunge 30 tunashindwa vipi kuteua siku kuongea hilo kwa uwazi na watu wakauliza maswali na taasisi zetu za sheria kama TLS zikiwakilisha.
Wasitumie watu kama RA ambao tayari wanasikendo za EPA na kampuni ya Kagoda. Watu wengine hata wanahabari wasiende au wakienda wawaukize zile skendo za zamani walizi clear vipi.
Kongole FaizaFoxy
Hilo la bandari zote kuziendeleza tukipenda kwa kuwa hatuna mkataba nao wowote wa kuendesha bandari yoyote mpaka sasa.IGA inakwisha mwezi wa 10 na mpaka sasa hakuna mkataba wa uendeshaji bandari uliosainiwa

Kigumu ni nini hapo kuelewa?
 
Mkuu maneno makali na mazito sana haya. Nahisi umeyaandika ukiwa na hisia nzito sana juu hili swala linaloendelea. We love our country Tanzania
Amekosa hoja, hakuna hoja ya IGA isiyojibika ndani ya vifungu vya IGA yenyewe. Sasa hasira zake, ndiyo anishambulia mimi. Mimi nikaendelea kumpa somo tu, la Hao watu anaowafikiria yeye kuwa ni wezi au majambazi.

Unajuwa mtu mwizi siku zote anaona watu wote wezi kama yeye.

Wafalme wa Dubai wameijenga nchi yao kwa biashara tu. Hakuna zaidi, mtu anaefanya biashara na dunia nzima leo akakudhulumu wewe Tanzania, ajiharibie jina lake lote alilojijengea kwa uaminifu kwa miaka yote, kwa lipi zaidi?

Hao sisi ndiyo tuliwafata, tunawahitajji wao zaidi kuliko wanavyotuhitaji. Wenyewe tumeshindwa, TICTS kashindwa,sasa hakuna ujanja , tuwape watuoneshe kazi za banadari zinavyofanywa.
 
Napenda unavyo defend. Hususan sie ambao hutaki wanasiasa watupigishe filimbi wengine wanaharakati uchwara na wasaka fursa lkn hili bado sio. Wewe unasema hakuna mkataba usioeleweka " hiyo ndio usahihi wenyewe" wee unaona . IGA inaposema bandari zote inamaanisha Dar port tu au na Kigoma?
Au ukomo ukoje?
Binafsi natamani Serkali iachie sehemu kama Bandari private sector ziopareti yenyewe ipate gawio na ushuru na stahiki zingine, lkn kwa kiwango gani?
Halafu FaizaFoxy hili la kusema wanataka tufaidike sisi liondoe kwenye hansadi hayupo mtu wa aina hiyo katika sayari na zingine labda Mungu tu ndio hutoa bure.
There is no Free lunch. Never ever.

Mwisho serkali itoke itete hoja hii hadharani waache ile janja ya kusema kesho mtu akiwa na hoja aje dodoma na mwisho saa fulani kwa swala la kitaifa, kwani tunawahi wapi? Ili watu wasichukuliwe na uhuni mwingine tatizo liko wapi? Kama tumeweza kupeleka wabunge 30 tunashindwa vipi kuteua siku kuongea hilo kwa uwazi na watu wakauliza maswali na taasisi zetu za sheria kama TLS zikiwakilisha.
Wasitumie watu kama RA ambao tayari wanasikendo za EPA na kampuni ya Kagoda. Watu wengine hata wanahabari wasiende au wakienda wawaukize zile skendo za zamani walizi clear vipi.
Kongole FaizaFoxy
Rostam hana skendo ya EPA wala Kigoda.

EPA ni biashara halai kwa walioifanya kihalai. Wale ambao walitia pesa ndani wakashitakiwa na kufikishwa mahakamani, Rostam hakuwa mmoja wao.

Kagida ni dili ambayo hata Bunge ikapigwa marufuku kuiongelea inahusisha Jeshi na UWT. Hakuna "skendo" la Rostam pale.
 
Hiyo si hoja kwa sasa . Hoja ni MKATABA WA DP WORLD unamasilahi? Hata kama aliolewa kabisa acha kuhongwa.
RA a.k.a King maker ni CIA a Havard student staionedin EA kuweka wamtakae na kuindoa wasiomtaka, ukiona anashabikia kitu ujue mahali hapo kuna wizi hajawahi kuwa na maslahi ya Tz hata sekunde 1
Ujinga ni kuona kitu kikipita kimepita. Unaona si hoja kwa sasa unaridhika kabisa.

Unahisi mkishapigwa na mkataba wa Bandari itachukua majuma mangapi kwa wewe kusema kwa sasa si hoja hii na utaanza kushadadia tukio lingine litakalojitokeza?

Ndio maana watu/viongozi hawaogopi kuwachezea watanzania. Wanajua ni ishu ya muda tu mtasema kwa sasa si hoja hiyo.....
 
Kwamba angeshindwa kukodi mtu kawa mmbuge miaka 20 ahindwe Lisa limoja kikufnya press
Hakuwa na wala Hana kitu huyu Mzee Muongo. Ndio maana sasa hivi anarudi kwenye siasa kidizaini, licha ya kuwa balozi + pesa alizohongwa na CCM + miaka 20 ubunge bado ni mweupe. Pesa za kuzipata kwa njia haramu hupotea kama upepo. Mwisho wake ni mbaya sana, kama CCM + akina Rostam (akiwaomba radhi) hawakumbosti tena.
 
Angalia ulichoandika
Uyu ni faiza anaetype au ID iko hacked🤨
Mimi nimemwelewa anasema hawezi kufanya tena sababu Kuna Siri nyuma ya pazia kubwa maybe alivompromise na watu fulani wakasema usirudie maybe....tungeijua hiyo Siri labda tungepata mwanga
 
Huyu mzee ALIKUA project ya State/kanisa kwenda upinzani kumshughulikia jk awamu ya nne!

Hakwenda kushinda urais bali check and balance KWA wanamtandao BAADA ya kushika nchi!

BILA yeye kwenda kule halo ungekua mbaya KULIKO hata jpm alivoikuta!!

BAADA ya jpm ku be nominated ndio project ikawa imeisha akarudi!!

SASA wanamtandao wameshika tena, project on!ndio MAANA kaanza kubweka like anachopewa abweke na office kubwa!!

Hakua msaliti Bali project ilikamilika!SASA amerudi tena KWA project ingine!!
[emoji122]
 
Ujinga ni kuona kitu kikipita kimepita. Unaona si hoja kwa sasa unaridhika kabisa.

Unahisi mkishapigwa na mkataba wa Bandari itachukua majuma mangapi kwa wewe kusema kwa sasa si hoja hii na utaanza kushadadia tukio lingine litakalojitokeza?

Ndio maana watu/viongozi hawaogopi kuwachezea watanzania. Wanajua ni ishu ya muda tu mtasema kwa sasa si hoja hiyo.....
Una PhD ya wapi? Soma context. Acha kubishana na kivuli chako
 
Rostam hana skendo ya EPA wala Kigoda.

EPA ni biashara halai kwa walioifanya kihalai. Wale ambao walitia pesa ndani wakashitakiwa na kufikishwa mahakamani, Rostam hakuwa mmoja wao.

Kagida ni dili ambayo hata Bunge ikapigwa marufuku kuiongelea inahusisha Jeshi na UWT. Hakuna "skendo" la Rostam pale.
Paragraph ya mwisho IMEELEWEKA vizuri.
" ni dili iliyohusisha jeshi, uwt na bunge lilipigwa marufuku kujadili" by FaizaFoxy voice.
Mi nakuelewa sana uko muwazi, kifupi upo upigwaji ambayo ukiujadili unaweza kuzuiwa na mihimili ya serkali, lkn haiondoi kuwa ni dili.
Matumizi mabaya ya ofisi na madaraka yanaendelea
 
Back
Top Bottom