FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hapana, labda tujiuwe wenyewe kwa ujinga wetu. Lakini hao jamaa wanachohitaji ni makampuni makubwa duniani yenye hisa zao yasikose fursa za Africa.Kwa kauli hii twafa
Tanzania tunaongelea sasa hivi kujenga ma highway ya toll.
Tanzania tunaongelea sasa hivi kujenga mahospitali makubwa kuwe na utalii wa afya.
Dubai pale ilipo kama haikutafuta njia mbadala za kuzalisha utajiri wao itaanguka.
Lengo lao kuu wajijenge Congo na gateway yao iwe Tanzaniakwa huku mashariki, kwa kule maghribi tayari AD Ports imeshakamata. na DP World na AD Ports ni ndugu wa damu, hawa Dubai wale Abu dhabi. Umeona eeh?
Hakuna sehemu nyingine yoyote duniani iliyobaki na mali asili nyingi duniani isipokuwa Congo.
Wnataka wawahi japo wawepo kidogo, wao kidogo tu wakishika asilimia fulani ya biashara ya Congo inawatosha kabisa, Hawana makuu. Kinchi chao kidogo.. wanaogopa kukikuza sana zaidi ya pale kitamezwa na wahindi.